Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Sasa tukusaidie umuelewe au nini? Kwani yeye ni msanii wa bongo flava(anaimba mixer kuchana) kwa mtindo aliyouchagua yeye.
Na anapiga pesa mingi tu kwa huo unaouona ushuzi
 
Ukiona humuelewi wewe mwenyewe hueleweki

sio lazima watu wote wamuelewe
 
Me mtu ambae sielewi anaimba nini ni Alikibaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125]
 
Huyu mwanamuziki nimetokea kumfahamu pale alipofunga ndoa na binti mrembo Irene Uwoya, sasa nikaanza kusikiliza nyimbo zake.

Wajuvi wa mambo mnisaidie huyu huwa anaimba muziki wa aina gani?

Na hualikwa kwenye matamasha ama concert/show na watu wanalipa viingilio? Au anafanya hisani (bure).

Natanguliza shukrani.
Uwezi kumuelewa kila mtu, unao waelewa wanatosha
 
Yes dogo Ni mka
Anaimba mziki ambao ni wa kukuburudisha tu siyo wa kukuelimisha wala wa kukufanya utafakari ni mziki wa kukuburudisha tu huhitaji kuelewa sana anachoimba.
Personally toka amechange kidebe, ngarenaro, na ule mwingine jina limenitoka dogo namuelewa sana...
Yes dogo Ni mkaree
 
Bora Sanchoka. Namuelewa sana
 

Attachments

  • downloadfile-18.jpg
    downloadfile-18.jpg
    28.1 KB · Views: 69
Kwanza Mungu kakubless, Na baby face
Umenitoa stress oooh oooh ooh mama
Tukianza na mosi, tupite moshi....

Huu wimbo nauelewa sana
 
Back
Top Bottom