Msaada: Dojo kwa hapa Dar es Salaam

Msaada: Dojo kwa hapa Dar es Salaam

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam wakuu,
mimi ni mpenzi sana wa sanaa za mapigano na nilijiunga na Sensei Ringo pale TASHOKA (Tanzania Shotokan Karate) Russian culture centre ila nilijikuta na drop kutokana na gharama na pia kuona mikanda inatolewa kimaghumashi, kwa kifupi unaweza kukuta mtoto mhindi mdogo tu ana mkanda wa maana wakati hata mkijaribu kufanya sparring unampa mawashi moja mtoto anaanza kutapika visheti (no joke). kwa wakuu wale wataalam wa martial arts naomba mnirecommend dojo ambalo wanatoa mafunzo vizuri ya maana na kwa gharama nafuu niweze kujiunga mapema mwenzi december. Natanguliza shukrani za dhati!
 
For self defence and to keep your body physically, emmotionall, biologically fit, right? Big Up Monk.
 
mkuu ww unapatikana wapi?
kama huta jali umbali kuna chikoko huyu ndiye nazani anayeongoza hapa tanzania ana dani 1 ya SHOTOKAN ila sasa yy anapatikana KAWE na ndipo dojo lake lilipo anapatikana TANGANYIKA PEKERS kama vipi wapo wengine kama steve bella mshindi wa kata za shotokan tanzania mara 3 mfululizo yy ana black belt wapo wa kina dulla n.k kama utahitaji unaweza nicheki hapa 0717 228064
 
Asante sana mkuu, daah umenisaidia sana. Mi natokea goba mwanzoni tu na hapo packers napafaham. Ngoja nichkue namba tuwasiliane!
 
Muone bwana mdogo mmoja anaitwa Criss ni mkurugenzi wa kampuni ya big muscles security jamaa yupo vzr sana kacheza SHOTOKANI,SHAORIN NA GUJURUU 0717161736
 
Os..nenda Manzese kwenye viwanja vya kanisa la RC kwa Sensei Jango hapo hakuna ubabaishaji.
 
Hii habari imenifaa sana japo sio mleta uzi...
Asante mkuu
 
Mi napajua, ila usije, mi sitaki matatizo na mtu!
 
sensei Ringo kweli karate yake ni ya demo tu. Wanafunzi wa chikoko sijawah waona wanachofanya ila Jango kama BRN alivyokushauri wako safi kwa kiwango chao
 
Last edited by a moderator:
sensei Ringo kweli karate yake ni ya demo tu. Wanafunzi wa chikoko sijawah waona wanachofanya ila Jango kama BRN alivyokushauri wako safi kwa kiwango chao
Mi namkubali zaidi Ringo coz yupo kiprofeshno zaidi. sijui siku hizi kama mambo yamebadilika maana mdau amesema mikanda inatolewa kimagumashi hiyo ni sifa mbaya kama ni kweli inabidi ajiangalie.
Nakumbuka alikuwa na kijana wake(mtoto wake) alianza kumfua tangia akiwa mdogo sana na sasa he is around 26 to 30yrs, yule dogo yupo fit balaa. alikuwa na black belt dani 2 kama sikosei.

So to me, Ringo is the best.
 
asanteni sana wakuu kwa hizo recommendations ngoja nitachagua ipi bora kwangu, asanteni sana wakuu!
 
mkuu ww unapatikana wapi?
kama huta jali umbali kuna chikoko huyu ndiye nazani anayeongoza hapa tanzania ana dani 1 ya SHOTOKAN ila sasa yy anapatikana KAWE na ndipo dojo lake lilipo anapatikana TANGANYIKA PEKERS kama vipi wapo wengine kama steve bella mshindi wa kata za shotokan tanzania mara 3 mfululizo yy ana black belt wapo wa kina dulla n.k kama utahitaji unaweza nicheki hapa 0717 228064

Asante kwa taarifa ila punguza maruhani kwenye AVATAR yako Kiukweli huwa inanichekesha sana huchoki ...!
 
Pole sana kaka. Bongo pia kuna shorinji kempo. Kuna madojo kadhaa, mojawapo likiwa ni mbezi mwisho (kwa wewe wa goba)
Ukiangalia web ya world shorinji kempo organisation (WSKO) utapata namba za wakuu wa branch zote. Mojawapo ipo ukonga inaongozwa na Ngowi sensei (4th dan). Ni sanaa poa sana na hakuna kujuana kuhusu ranking
 
asante sana mkuu wangu!
 
Kuna Uzi mwingine kama huu hapa chini...mafunzo ya karate..ufuatilie.
 
Salaam wakuu,
mimi ni mpenzi sana wa sanaa za mapigano na nilijiunga na Sensei Ringo pale TASHOKA (Tanzania Shotokan Karate) Russian culture centre ila nilijikuta na drop kutokana na gharama na pia kuona mikanda inatolewa kimaghumashi, kwa kifupi unaweza kukuta mtoto mhindi mdogo tu ana mkanda wa maana wakati hata mkijaribu kufanya sparring unampa mawashi moja mtoto anaanza kutapika visheti (no joke). kwa wakuu wale wataalam wa martial arts naomba mnirecommend dojo ambalo wanatoa mafunzo vizuri ya maana na kwa gharama nafuu niweze kujiunga mapema mwenzi december. Natanguliza shukrani za dhati!

Japo ni maongezi ya siku nyingi lakini nimeona niyarukie tu... huyu mtu ulie mtaja ni muhuni tu wala sio mwalimu aliefudhu wa karate. kwenye karate naweza kusema anaibia watu tu na kuwachezea akili. na hiyo ndio sababu iliyokufanya uone madudud mengine, ila ungekuwa na hela usingeona hayo madudu ya kuuziana madaraja
 
kama bado unawazo kichwani mtafute Shihan Dr. P Chikoko (4th Dan SKIF, 6th Dan TKF & TSDI)
Fwata hii link
Tanzania karate SKIF: SKITA Clubs and Instructors
 
Back
Top Bottom