Msaada: Dojo kwa hapa Dar es Salaam

Habari wana JF
Nakaa Ubungo golani...kwa anayejua naomba anipe location ya dojo la karate mitaa ya uku nimpeleke mtoto wangu,seven Yrs Old.
Mkuu mie natafuta mitaa ya kinondoni nimpeleke dogo ye ni 3yrs
 
Kiongozi if u dont mind naeza pata darasa la watoto la michezo hiyo wapi nataka nimpeleke dogo ana 3yrs naishi kinondon
 
Kuna sensei anaitwa yahya mgeni huyu mzee kwangu mm ndiye the best ,

Mwanaye alikuwa bingwa mashindano ya Africa na mwanafunzi mwingine wake yeye alikuwa wa kwanza east Africa

Ni mjumbe wa TASHOKA ,huyo chikoti simpati mwenye details zke aniambie
 
brother hiv huo mchezo na kickboxing ni upi mzuri zaidi
 
ila kiongozi samtym ma soldier syo kabisa, mmoja altukuta tunapiga tz maeneo ya arusha stadium akawa anatuelekeza isee ilkuwa balaa kwanza tulidens kama dk 90 alaf baada ya hapo akatuambia tupige shadow boxing yan kiujumla kwa hilo tizi alitukomoa maana kila kitu tulifanya kwa dk nyingi na ukizingatia ndo tulkuwa tunaanza
 
jamani karate imegawamyika. shoto kan, shorinji, gujuruu, KURENAI nk. sasa huwez sema kuwa mfulani ni mkali wa karate tz nzima wakat karate ni kama madhehebu ya dini.

by the way mimi naikubali saana tai chi ya udom. aliwah kuja mwalim mmoja wa karate lakin alipewa kijana mmoja tuu kwisha habar yaake.
 
Nenda Mbeya day kwa sensei mwalimu Msigwa, au Buguruni kwa master Scorpion
 
Kuna sensei anaitwa yahya mgeni huyu mzee kwangu mm ndiye the best ,

Mwanaye alikuwa bingwa mashindano ya Africa na mwanafunzi mwingine wake yeye alikuwa wa kwanza east Africa

Ni mjumbe wa TASHOKA ,huyo chikoti simpati mwenye details zke aniambie
huyu ndo namtafuta mimi,nafikir kuna kipind alikua tbc1 anafundsha kuptia kideo
 
Kwa kusema karate haifundishwi jeshini naomba ututake radhi! Halafu wewe! Nakuomba uishie hapo!
 
huyu ndo namtafuta mimi,nafikir kuna kipind alikua tbc1 anafundsha kuptia kideo
Mkuu mtafute

2012 alijiunga na ISKF international shotokan karate federation chama cha shotokan duniani yalifanyika USA na huko alifanya grading ya Dan na master wengine ,kama sijakosea alifanya 10 Dan

Ukijifunza kwake utapata mkanda na cheti kinachotambulika na mashindano ya kidunia utafanya na mengine ya ndani kama ukitaka

Yupo poa na fair na hatozi hela ni bure kabisa ukitoka kwake utakuwa umeiva haswa
 
Kuna sensei mmoja alikua anafundisha maeneo ya mbagala kma unaenda kongowe karibu na shule ya st.mary opposite na sheli sijui kama mpka sasiv bado yupo maana nilipiga mazoez pale kitambo sana miaka ya 2007
Mkuu nielekeze vizur nina dogo langu hapa lipo kizembe zembe.
Ni msukume huko akachangamke
 
mi nataka ya kupgia wajingawajinga kitaa wanaojifanya wababe
 
kwa kweeli jamani ulimweng wa martial arts umegawanyika saaana saana.
kuna hizo za ku showoff na za combat ambazo hata ukikutana na wajeda 10 hahaaaaaaaaaa unacheka tuu.

binafsi siiamini karate japo ndiko nilikoanzia msingi wanguu
ila tai chi ni nzuri saana kwa kweeli. nzuri mnoo
 
Walimu wa Tai chi wapo kweli hapa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…