Msaada: Fangasi zinateketeza sehemu zangu za siri kwa kasi sana

Joined
Dec 13, 2023
Posts
67
Reaction score
238
Wakuu,

Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha yakiendelea.
Nimeishia nayo kama miaka sita hivi.

Rate ya kueneaa kwake ilikuwa ndogo tu lakini kilichonistua saizi hakuna dalili za kupona.

Sasa naona zimeanza kupanda kwenye ngozi ya penis hadi kuingia kwenye mlija wa kutolea mkojo sehemu ya juu , hili jambo linaniogopesha sana😭

Nimeenda famasi wiki mbili zilizopita nimepewa vidonge na dawa ya kupaka , Ile inayofanana na dawa ya mswaki. lakini hadi sasa sioni maendeleo yoyote

Wakuu kwanza naombeni kufahamu ikiwa hii itaathiri uwezo wangu wa kiume.

Muhimu zaidi naombeni mnisaidie njia sahihi na ya harakszaidi ya kutatua hatari hii wakuu, naombeni sana.😭😭😭
 
Wakuu

Sasa naona zimeanza kupanda kwenye ngozi ya penis hadi kuingia kwenye mlija wa kutolea mkojo sehemu ya juu , hili jambo linaniogopesha sana[emoji24]

Nimeenda famasi wiki mbili zilizopita nimepewa vidonge na dawa ya kupaka , Ile inayofanana na dawa ya mswaki. lakini hadi sasa sioni maendeleo yoyote

Wakuu kwanza naombeni kufahamu ikiwa hii itaathiri uwezo wangu wa kiume.

Muhimu zaidi naombeni mnisaidie njia sahihi na ya harakszaidi ya kutatua hatari hii wakuu, naombeni sana.[emoji24][emoji24][emoji24]
Kabla ya kufika kwa Mzizimkavu, anza na Sonaderm angalau itapunguza rate ya kuenea kwakwe. Fanya hivyo
 
Wakuu
Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha yakiendelea.
Nimeishia nayo kama miaka sita hivi.

Rate ya kueneaa kwake ilikuwa ndogo tu lakini kilichonistua saizi hakuna dalili za kupona.

Sasa naona zimeanza kupanda kwenye ngozi ya penis hadi kuingia kwenye mlija wa kutolea mkojo sehemu ya juu , hili jambo linaniogopesha sana😭

Nimeenda famasi wiki mbili zilizopita nimepewa vidonge na dawa ya kupaka , Ile inayofanana na dawa ya mswaki. lakini hadi sasa sioni maendeleo yoyote

Wakuu kwanza naombeni kufahamu ikiwa hii itaathiri uwezo wangu wa kiume.

Muhimu zaidi naombeni mnisaidie njia sahihi na ya harakszaidi ya kutatua hatari hii wakuu, naombeni sana.😭😭😭
Pole sana man
 
Back
Top Bottom