Msaada: Fangasi zinateketeza sehemu zangu za siri kwa kasi sana

Msaada: Fangasi zinateketeza sehemu zangu za siri kwa kasi sana

Ili tatizo mm nilikuwa nalo hasa wakati wa joto, Kuna memba humu alitoa mwongozo wa tiba ya fungusi sugu , nami nikatumia hiyo formula mpaka sasa Niko poa , Saga vitunguu swaumu, tangawizi chemcha , then ichuje upate juice changanya na asali, kunywa vijiko 2 mpaka 3 as before b, fast na jioni before dinner Kwa wiki 1,, utapona mkuu
 
Si umshauri hapa ili wengine wenye tatizo hilo waponeee
Kwa Maradhi aliyokuwa nayo ushauri hauwezi kumsaidia kitu kuweza kupona anachotakiwa kutibiwa ili aweze kupona maradhi yake .Sio kila maradhi unaweza kumshauri mtu basi kusingekuwa na hospitali Ma-daktari wangekuwa hawana kazi, kazi yao ingelikuwa ni kutoa ushauri tu.
 
Back
Top Bottom