MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
718
Reaction score
1,204
Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology

Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi zote zinazohitaji mtu mwenye Laboratory science naweza nikaomba ila zinazohitaji mtu mwenye Laboratory technology siwezi kuomba mpaka nikabadilishe pale ni update niweke Laboratory technology

Hapa nimeshaomba kazi moja ya Laboratory science application received lakini pia imetokea kazi nyingine ya Laboratory technology hii nashindwa kuomba naambiwa Application Failed...Niawaza nikienda pale kubadilisha nikaweka Laboratory technology ile application ya mwanzo ya Laboratory Science je nitakuwa shortlisted?... msaada wa mawazo ndugu zangu
 
Jaza elimu mara mbili.
Diploma in Laboratory Science
Diploma in Laboratory Technology
 
1000345646.jpg
 
Back
Top Bottom