Msaada: Gari gani linakula mafuta kidogo?

Toyota Duet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si uJifunze kutengeneza mafuta ya gari yako kwanini uhangaike kuwachangia wao KILA siku.

Me nataka gari inayokunywa mafuta sio shida. Natumia E85 yaani mixing ya petrol na ethanol kwa ratio ya petrol 15 na ethanol 85.
 
Brazil wao waliona waarabu wasiwapasue vichwa wakajikita kuzalisha ethanol ndo wanatumia kwenye magari yao 80%. Gari yeyeto ya petrol inatumia ethanol bila shida yeyeto hasa hizi hybrid unaweza ukatumia. Tuachane na mafuta ya Mwarabu yanakula hela zetu bure tuzalishe biofuel kwa wingi mbona raw materials tele nchini. Mafuta ya Mwarabu yanaua uchumi.
 
Jibu lako unalo kwenye Uzi wako sasa mbona unatuuliza Tena?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ist wanazipendea nini
Sasa hivi, Toyota Vitz

Imekua ni chaguo la wengi sana.
Mfano mzuri ni hii ambayo tulimuagizia mteja hapa

Zimekua ni chaguo la wengi kwasasa.
Gharama ni TZS 9.8MIL pamoja na usajili.
 
Fashion, napia gharama ndogo za running cost.
Ist sio fashion labda low running cost

Juzi Niko msibani sehemu kimekuja ki ist kipya kimedidimia nyuma kabisa wakashuka wamama wawili na mdingi mmoja nyuma, nimeshangaa sana kugundua ist kakibeba mtu tano kanakuwa vile 😁 Sasa kwenye buti wakiweka mzigo je

Yani bajaji tvs ikibeba hata watu wameshiba vipi watatu hakaezi bonyea vile
 
Tesla. Hii haili kabisa... Bonge moja la gari.
 
Gari za umeme hazitumii mafuta kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nunua suzuki alito aisee hautajutia pesa yako
 
Swift yenyewe inaishia kunusa tu mafuta
 
Huijui Pajero mini ni miongoni mwa gari ngumu Ina engine ya piston 4 tena ukipata yenye turbo ndio bora zaidi tana katika kei car ngumu ni hii kuliko zingine kama Daihatsu Mira, Daihatsu move,Suzuki alto, Toyota pixis,
 
Si uJifunze kutengeneza mafuta ya gari yako kwann uhangaike kuwachangia wao KILA siku.
Me nataka gari inayokunywa mafuta sio shida.
Natumia E85 yaani mixing ya petrol na ethanol kwa ratio ya petrol 15 na ethanol 85.
Mkuu fafanua vizuri hii tufaidike nayo
 
Mkuu fafanua vizuri hii tufaidike nayo, kufafanua kwenye nini, utengenezaji wa ethanol, au aina zingine za mafuta mbadala ikiwemo diesel na gas kwa ajili ya mashine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…