Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Toyota DuetWadau! Ninaishi Chanika na ninafanya kazi Kariakoo. Ninamiliki Rav4 lakini naona inanielemea kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta.
Ombi langu kwenu:-Nataka kununua gari lenye CC chache ambalo halitani-cost sana katika matumizi ya mafuta. Kupitia mawazo yenu, naweza kufikia uamuzi wa gari gani ninunue. CC 650 (gari kama Pajero mini, Suzuki Jimny) hadi CC 1500 ni muafaka zaidi.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app