Msaada gari imegoma kuwaka

Msaada gari imegoma kuwaka

Feni haitakiwi kuzunguka ikiwa engine haipo moto. Kazi yake ni kupoza maji ya radiator yanapofika umoto fulani, ikiwa hayo maji hayakufika huo umoto basi feni haitakiwi kuzunguka. Feni nyengine huwa ni kwa ajili ya AC ila i believe unazungumzia kuhusu feni ya kupozea maji ya moto. Jaribu kusubiria gari ipate moto ule mshale wa temp ufike katikati, kisha subiria, ukiona mshare unaendelea kuvuka kati na kupata na feni haifanyi kazi, zima gari tizama fuse. Katika fuse box itakuonesha fuse ipi ipo wapi na namba nayotakiwa, kama sikosei fuse ya feni la radiator ipo obvious imeandikwa FAN, icheki kama iko powa. Kama haipo powa badilisha. Ukiona bado, mpelekee fundi akutiamie Thermostat.
Acha kudanganya Watu mkuu, suala la fen kuzunguka gari ikiwa switch on inategemea na aina ya gar
 
Amesema alienda kukagua OIL wakati engine inazinguka kitu ambacho hakishauriwi.Angekuwa amefunga tai na tai ikanaswa na hizo propeller tungekuwa tunazungumza mengine
Sijui hili la kukagua oil wakati engine inakimbia alifundishwa na nani
 
Mafeni? Sijaelewa...unamaanisha kile kidude cha mviringo kilichounganishwa na Otonetor?
4870c27227b70cb8e250e4e8f953cd31.jpg

Kama hizi mkuu
 
Feni haitakiwi kuzunguka ikiwa engine haipo moto. Kazi yake ni kupoza maji ya radiator yanapofika umoto fulani, ikiwa hayo maji hayakufika huo umoto basi feni haitakiwi kuzunguka. Feni nyengine huwa ni kwa ajili ya AC ila i believe unazungumzia kuhusu feni ya kupozea maji ya moto. Jaribu kusubiria gari ipate moto ule mshale wa temp ufike katikati, kisha subiria, ukiona mshare unaendelea kuvuka kati na kupata na feni haifanyi kazi, zima gari tizama fuse. Katika fuse box itakuonesha fuse ipi ipo wapi na namba nayotakiwa, kama sikosei fuse ya feni la radiator ipo obvious imeandikwa FAN, icheki kama iko powa. Kama haipo powa badilisha. Ukiona bado, mpelekee fundi akutiamie Thermostat.
Atasubiriaje gari kupata moto wakati haiwaki?
 
Nashukuru kwa mawazo na michango yenu wadau nishapata pa kuanzia..nitawapa mrejesho mambo yakitengamaa
 
Acha kudanganya Watu mkuu, suala la fen kuzunguka gari ikiwa switch on inategemea na aina ya gar
Mkuu, labda unambai ni gari ipi ambayo switch ikikaa On tu mafeni yanazunguka and kwanini yanazunguka.... Naomba maelezo ili namie leo nijifunze kuwa kuna gari aina fulani ukiweka switch on tu feni zinazunguka
 
Atasubiriaje gari kupata moto wakati haiwaki?
Nlikuwa namfahamisha kuhusu uzungukaji wa mafeni na kwanini yanazunguka na mda gani yanakuwa hayazunguki, au nimekosea mkuu?
 
Mkuu kwa Maelezo yako, shida hapo ni fuse
 
Nipo nimetoka kupeleka ripoti kwa wenger kuwa Iwobi alikuwa hajala usiku kucha ana party kisha next day kenda kucheza mpira 😀 😀 najua unaomba dua hapo tusije tukamchukua Ozil wala Sanchez January hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza...
 
hahahaha huu uwanja bora tuwaachie wenyewe mana tukiendelea hapa hii thread mara itahamishwa kwenye sports... nakushauri kama unataka kuingia uefa hakikisha unafanya usajili 😀 😀 😀 venginevyo msimu unaofata utagombania nafasi ya kubaki ligi kuu 😀 😀 😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji2] sawa bhana....,twendege kule uwanja wa nyumbani...
 
Mkuu, labda unambai ni gari ipi ambayo switch ikikaa On tu mafeni yanazunguka and kwanini yanazunguka.... Naomba maelezo ili namie leo nijifunze kuwa kuna gari aina fulani ukiweka switch on tu feni zinazunguka
Kuna gari niliwahi kuitumia ilikuwa ukichomoa boya la umeme linalofungwa kwenye fan na ukaweka switch-on tu fan zinaanza kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom