ngajilejomwejo
Member
- Dec 10, 2017
- 15
- 8
Lazima itakuwa fuse ya tair speaInawezekana ingawa sina uhakika itakuwa ni fuse ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima itakuwa fuse ya tair speaInawezekana ingawa sina uhakika itakuwa ni fuse ya nini?
Acha kudanganya Watu mkuu, suala la fen kuzunguka gari ikiwa switch on inategemea na aina ya garFeni haitakiwi kuzunguka ikiwa engine haipo moto. Kazi yake ni kupoza maji ya radiator yanapofika umoto fulani, ikiwa hayo maji hayakufika huo umoto basi feni haitakiwi kuzunguka. Feni nyengine huwa ni kwa ajili ya AC ila i believe unazungumzia kuhusu feni ya kupozea maji ya moto. Jaribu kusubiria gari ipate moto ule mshale wa temp ufike katikati, kisha subiria, ukiona mshare unaendelea kuvuka kati na kupata na feni haifanyi kazi, zima gari tizama fuse. Katika fuse box itakuonesha fuse ipi ipo wapi na namba nayotakiwa, kama sikosei fuse ya feni la radiator ipo obvious imeandikwa FAN, icheki kama iko powa. Kama haipo powa badilisha. Ukiona bado, mpelekee fundi akutiamie Thermostat.
Sijui hili la kukagua oil wakati engine inakimbia alifundishwa na naniAmesema alienda kukagua OIL wakati engine inazinguka kitu ambacho hakishauriwi.Angekuwa amefunga tai na tai ikanaswa na hizo propeller tungekuwa tunazungumza mengine
Uko sahii mkuu mimi yangu nikishaweka on tu feni zinaanza kuzungukaAcha kudanganya Watu mkuu, suala la fen kuzunguka gari ikiwa switch on inategemea na aina ya gar
Kumbe kuna umri maalumu wa kumiliki gari. [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ulikua hujafika umri wa kumiliki gari kijana, too
Much mediocrity
Mafeni? Sijaelewa...unamaanisha kile kidude cha mviringo kilichounganishwa na Otonetor?
Atasubiriaje gari kupata moto wakati haiwaki?Feni haitakiwi kuzunguka ikiwa engine haipo moto. Kazi yake ni kupoza maji ya radiator yanapofika umoto fulani, ikiwa hayo maji hayakufika huo umoto basi feni haitakiwi kuzunguka. Feni nyengine huwa ni kwa ajili ya AC ila i believe unazungumzia kuhusu feni ya kupozea maji ya moto. Jaribu kusubiria gari ipate moto ule mshale wa temp ufike katikati, kisha subiria, ukiona mshare unaendelea kuvuka kati na kupata na feni haifanyi kazi, zima gari tizama fuse. Katika fuse box itakuonesha fuse ipi ipo wapi na namba nayotakiwa, kama sikosei fuse ya feni la radiator ipo obvious imeandikwa FAN, icheki kama iko powa. Kama haipo powa badilisha. Ukiona bado, mpelekee fundi akutiamie Thermostat.
Labda tairi zimeisha upepo
Mkuu, labda unambai ni gari ipi ambayo switch ikikaa On tu mafeni yanazunguka and kwanini yanazunguka.... Naomba maelezo ili namie leo nijifunze kuwa kuna gari aina fulani ukiweka switch on tu feni zinazungukaAcha kudanganya Watu mkuu, suala la fen kuzunguka gari ikiwa switch on inategemea na aina ya gar
Nlikuwa namfahamisha kuhusu uzungukaji wa mafeni na kwanini yanazunguka na mda gani yanakuwa hayazunguki, au nimekosea mkuu?Atasubiriaje gari kupata moto wakati haiwaki?
Nipo nimetoka kupeleka ripoti kwa wenger kuwa Iwobi alikuwa hajala usiku kucha ana party kisha next day kenda kucheza mpira 😀 😀 najua unaomba dua hapo tusije tukamchukua Ozil wala Sanchez January hiiWe ulipotelea wapi ww??
Kwa hyo na wewe unahisi umetoa mchango wako, si Ndio?labda tairi zimeisha upepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza...Nipo nimetoka kupeleka ripoti kwa wenger kuwa Iwobi alikuwa hajala usiku kucha ana party kisha next day kenda kucheza mpira 😀 😀 najua unaomba dua hapo tusije tukamchukua Ozil wala Sanchez January hii
hahahaha huu uwanja bora tuwaachie wenyewe mana tukiendelea hapa hii thread mara itahamishwa kwenye sports... nakushauri kama unataka kuingia uefa hakikisha unafanya usajili 😀 😀 😀 venginevyo msimu unaofata utagombania nafasi ya kubaki ligi kuu 😀 😀 😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji2] sawa bhana....,twendege kule uwanja wa nyumbani...hahahaha huu uwanja bora tuwaachie wenyewe mana tukiendelea hapa hii thread mara itahamishwa kwenye sports... nakushauri kama unataka kuingia uefa hakikisha unafanya usajili 😀 😀 😀 venginevyo msimu unaofata utagombania nafasi ya kubaki ligi kuu 😀 😀 😀
Kuna gari niliwahi kuitumia ilikuwa ukichomoa boya la umeme linalofungwa kwenye fan na ukaweka switch-on tu fan zinaanza kufanya kazi.Mkuu, labda unambai ni gari ipi ambayo switch ikikaa On tu mafeni yanazunguka and kwanini yanazunguka.... Naomba maelezo ili namie leo nijifunze kuwa kuna gari aina fulani ukiweka switch on tu feni zinazunguka