Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

Naomba kujua kwa nini siku hiz subaru forester xt zinauzwa bei rahis zikishatumika hapa bongo... Zina matatizo gani??
 
Dualis ni kama IST ya kampuni ya nissan ila uzuri yenyewe ina ground clearance nzuri kidogo yani ukiipanda inakupa feeling ya SUV!
 
He he he he! Gari zenye mapenzi ya pesa hizo zinapenda hela zako kuliko wewe mmiliki😂😂😂!

Toyota atabaki kuwa wife material miaka nenda rudi
Dualis ni gari yenye design nzuri sana,ground clearance nzuri,technolojia za kisasa na kadhalika lakini ndiyo hivyo tena!
 
Dualis ni gari yenye design nzuri sana,ground clearance nzuri,technolojia za kisasa na kadhalika lakini ndiyo hivyo tena!
Haina mapenz ya kweli hio kwani hata slay queen huwa na teknolojia ya kisasa kuanzia makeup, makucha, perfume na madini mbali mbali bila kusahau mbwembwe!

Ila ndio hivyo tena...dah!
 
Haina mapenz ya kweli hio kwani hata slay queen huwa na teknolojia ya kisasa kuanzia makeup, makucha, perfume na madini mbali mbali bila kusahau mbwembwe!

Ila ndio hivyo tena...dah!
Nimeishiwa pozi..[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]
 
Unafahamu sababu zinazofanya gari kuwaka moto..????

Hii ni rav4 miss Tanzania...
Screenshot_2021_0813_214743.jpg
 
Hii ni prado inateketea...
Suala la gari kuwaka moto kunasababishwa na mambo mengi sana...

Kwa kuwa Dualis imeungua, haina maana kuwa brands za toyota haziungui..

Mara nyingi magari yanayoungua hapa bongo ni kutokana na kuchokonoa mifumo ya wiring ya gari..

kwa mfano, kufunga music system kwa kutumia mafundi wasio na ujuzi..

Kuongeza wiring za taa mfano fog lights endapo gari haikuwa na mfumo huo...

Sababu zipo nyingi sana...
Screenshot_2021_0813_214714.jpg
 
nasikia gera box yake chenga sana
Inatumia gearbox aina ya CVT ambayo ina oil yake specific. Hautakiwi kuweka hizi oil za kawaida za ATF.

Sasa changamoto hapo sio gari bali ni m'miliki wa hiyo gari.
 
Haina mapenz ya kweli hio kwani hata slay queen huwa na teknolojia ya kisasa kuanzia makeup, makucha, perfume na madini mbali mbali bila kusahau mbwembwe!

Ila ndio hivyo tena...dah!
Hizi gari ni loyal sana kwa watu wanaojali magari yao. Imagine oil yake ya gear box inalast kwa zaidi ya 80,000 km. Ni gari ngumu na hata ukiikuta iliyotumika muda mrefu kuirestore ni dakika chache tu.
 
Back
Top Bottom