miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ha ha ha eeh, kuna mkaka jana nikamwona anaendesha dualis nyekundu jaman. Nikasema hiii, ama ya mkewe? Ama dere huyu? Maana kigari kimejaa wanawake watupu. Tena nyekundu jamam. Me mwenyewe sitaki. Vya wamama hv..Hizi dharau sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]