Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

Mkuu umeamua kumsagia kunguni Toyopet 😂😂😂
 
Hakuna gari utataka kuuza ukose wateja.....!
Ila hutauza kwa bei muafaka! Nakuhakishia hilo IST ni bei rahisi kuliko hio Nissan ila kwenye swala la kuiuza IST itauzwa aghali kuliko hio Dualis!

IST unayonunua mpya leo 13M labda namba DWZ ukitaka kuiuza next year mwezi kama huu utaiuza 10M chap bila shida ila ukitaka kuuza Dualis ulionunua 18M ya namba DWZ sawa na ile IST ukimpata mtu wa 10M ukatoe na fungu la 10 kabisa!
 
Aaaaaaaah ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comred umeamua kuwa mchungu kwa teamc Nissan kiasi hiki.

Mbona zikimbiza sana huku sokoni. Na wamiliki wanatamba kabisa.

Me ilibidi niagizie maana huku mtaani watu wanaleta bei za tamaa.
 
Hahahahah kama una hela ya kuagiza gari hata kuuza huwa sio priority
 
Afadhali team Nissan umekuja tuwakere team Toyota.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji2957][emoji2957][emoji2957]watu wanapenda ku..generalize mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…