Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namba cysMaelezo yako hayajitoshelezi mkuu,hiyo gari umenunua Kwa mtu au yard? Pia ni namba A,B,C au D.
Ushauri wangu peleka Kwa fundi acheki:-
1) silence
2)badilisha air cleaner
3)rekebisha muffler/mafundi wanajua jinsi ya kurekebisha muffler utulie
4) weka plugs mpya
Iuzemwenge
Sawa mkuu, na je umewahi kufanya modifications zozote kwa fundi?cc990
Hakuna lolote,ukitaka kujua ulaji wake halisi wa mfuta pata kamwinuko kidogo tu uoneni kwel mkuu inanusa tu
mkuu tafuta boda au bajaj ndo itakufaa, wew gari huiwezi.habari zenu wana ndugu.
nimejichanga changa nimenunua ka passo kwa mtu lkn cha kushangaza kinakula mafuta vibaya nikiweka mafuta lita 5 natoka kimara to tegeta nakurudi inakua imeisha mafuta tatizo nn wadau.
nakaribisha maoni yunu nashukrani
View attachment 1140415
Sawa mkuu. Mara nyingi gari hula mafuta sana kama yakiwa mjini na hii ni kutokana na foleni za hapa mjini na kusimama simama mara kwa mara. Kwa hiyo ni kawaida kwa gari hilo kula mafuta.hapana