Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeipenda hii. Kuna fundi yeyote anaweza nshushia huu mjengo?
Unataka kuijenga wapi? Bei zinatofautiana sana kulingana na maeneo na kiwango cha ubora unachokihitaji (ikijumuisha utaalamu/wataalamu utakawatumia). Unataka kuijenga itokee kama inavyoonekana kwenye hiyo picha (materials, finishing etc)? Kwa kutizama hivyo vipimo kwa haraka, nyumba hiyo ina kama square metre 120. Kama unaweza kupata viwango vya bei (kwa sq m) kwa eneo unapotaka kujenga nyumba hiyo, unaweza kuzidisha kiwango hicho kwa eneo hilo la 120 sq m.Habari wakuu, naomba wenye ujuzi na uelewa katika maswala ya ujenzi na gharama za ujenzi wa nyumba mnisaidie makadilio ya gharama ya kujenga nyumba hii. Thank you in Advance.
Kama unaijenga kwenye kiwanja ambacho ni flat na barabara inafika mpaka kiwanjani, unahitaji mil 12 mpaka linta. Kislab kitakucost mil. 5. Kuezeka inategema na aina ya roofing materials utakazotumia. Kama utatumia bati za kawaida utahitaji mil. 3.5 kuezeka.
Kama utaweka grill na madirisha ya aluminium jumla itakucost 2.5 mil. Umeme iwapo hutahitaji kununua nguzo, kufanya wiring na kuvuta ni 2mil. Jumla mil. 25.
Hapo tayari unaweza kuhamia.
makorombwezo mengine ya tiles, ceiling, plastering and painting, plumbing, pavements, fencing, landscaping and gardening bei zake zina tofautiana mno kiasi kwamba haina maana kutoa kamadirio, unless uwe specif aina ya finishing unayotaka.
Ze marcopolo embu elezea kidogo unaezeka na nini majani au alafu magril plus alluminium for that price embu funguka kidogo how about electricity maelezo please
Mkuu, mbona kila kitu nimefafanua. Kuhusu kuezeka nisome vizuri. Kuhusu gril na aluminium inategemea design na atakayekutengenezea lakini 2,5 inaosha.
Kama kuna kitu hakiko clear sema tu mkuu tutajitahidi kufafanua zaidi...

Mkuu 2.5 ni figure tu njoo na mabati mangapi mbao kiasi gani na price pia fundi utampa ngapi hivyo hivyo na kwenye magrill
Mkuu gharama za Ando TIles sasa hivi zikoje? nataka kufanya roofing kwa kutumia Ando Tiles
mkuu hii si kweli unajidanganya na kutudanganya!Kama unaijenga kwenye kiwanja ambacho ni flat na barabara inafika mpaka kiwanjani, unahitaji mil 12 mpaka linta. Kislab kitakucost mil. 5. Kuezeka inategema na aina ya roofing materials utakazotumia. Kama utatumia bati za kawaida utahitaji mil. 3.5 kuezeka.
Kama utaweka grill na madirisha ya aluminium jumla itakucost 2.5 mil. Umeme iwapo hutahitaji kununua nguzo, kufanya wiring na kuvuta ni 2mil. Jumla mil. 25.
Hapo tayari unaweza kuhamia.
.
mkuu hii si kweli unajidanganya na kutudanganya!
Safi sanaKama unaijenga kwenye kiwanja ambacho ni flat na barabara inafika mpaka kiwanjani, unahitaji mil 12 mpaka linta. Kislab kitakucost mil. 5. Kuezeka inategema na aina ya roofing materials utakazotumia. Kama utatumia bati za kawaida utahitaji mil. 3.5 kuezeka.