DR.MBWEMBWE
Member
- Nov 27, 2012
- 19
- 20
Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukodisha gari inaanzia laki 4 kwa siku na ushuru wake wa kuingia mbugani kwa gariHabari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park ( kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Jaribu kutafta huenda wana tovuti yao
Ngorongoro sio national park kiongoziHabari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park ( kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Are you serious brother?? au una Joke?Ngorongoro sio national park kiongozi
NI conversation area na sio national parkAre you serious brother?? au una Joke?
Mkuu kwa wazawa ni sawa na bureHabari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park ( kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Mkuu Ngorongoro ni national Park kwa Tanzania, Kwa Dunia ndio Conservation Area /Dunia Urithi wa Dunia, Ilitengwa maalumu ( hii haiondoi kuwa National Park;NI conversation area na sio national park
Hii hapaHabari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Ameuliza kiingilio huenda ana privateNimejaribu kutafuta nimepata gharama za kiingilio tu ambazo ni affordable tu.
Kwa upande wa chakula na malazi sifahamu lolote na hapa ndio huwa tunapoumbukaga maana unaweza ukashtukizwa Soda Tsh 10,000/=.
Hizi taarifa zako hazipo sawa. Ngorongoro haiwezi kuwa chini ya TANAPA hata siku moja, wala NCAA sio hifadhi. Aliyesema ni Conservation area yupo sawa kabisa Mkuu.Mkuu Ngorongoro ni national Park kwa Tanzania, Kwa Dunia ndio Conservation Area /Dunia Urithi wa Dunia, Ilitengwa maalumu ( hii haiondoi kuwa National Park;
Ndio maana ikawekewa Mamlaka yake maalumu NCAA, badala ya kutegemea TANAPA peke yake;
Ila ipo pia Under Tanapa kwa Nationa park, ni Mbuga ya Pili kwa Ukubwa Hapa Tz
Sio National Park hio ni Conservation, Haina Vigezo vya kuitwa National ParkHabari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Haiwezi kuw National Park make kuna human activities ndani mule, Serengeti National Park haiwezi kuwa sawa na Ngorongoro,Mkuu Ngorongoro ni national Park kwa Tanzania, Kwa Dunia ndio Conservation Area /Dunia Urithi wa Dunia, Ilitengwa maalumu ( hii haiondoi kuwa National Park;
Ndio maana ikawekewa Mamlaka yake maalumu NCAA, badala ya kutegemea TANAPA peke yake;
Ila ipo pia Under Tanapa kwa Nationa park, ni Mbuga ya Pili kwa Ukubwa Hapa Tz
ziweke tafadhali nasi tuzijueNimejaribu kutafuta nimepata gharama za kiingilio tu ambazo ni affordable tu.
Kwa upande wa chakula na malazi sifahamu lolote na hapa ndio huwa tunapoumbukaga maana unaweza ukashtukizwa Soda Tsh 10,000/=.
ok mkuuHaiwezi kuw National Park make kuna human activities ndani mule, Serengeti National Park haiwezi kuwa sawa na Ngorongoro,