Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,154
- 1,848
Usipende ligi mkuu, tangu lini ngorongoro ipo chini ya TANAPA?Mkuu Ngorongoro ni national Park kwa Tanzania, Kwa Dunia ndio Conservation Area /Dunia Urithi wa Dunia, Ilitengwa maalumu ( hii haiondoi kuwa National Park;
Ndio maana ikawekewa Mamlaka yake maalumu NCAA, badala ya kutegemea TANAPA peke yake;
Ila ipo pia Under Tanapa kwa Nationa park, ni Mbuga ya Pili kwa Ukubwa Hapa Tz
Umewahi kuona wapi binadamu wanaishi kwenye national park