Mkuu Ngorongoro ni national Park kwa Tanzania, Kwa Dunia ndio Conservation Area /Dunia Urithi wa Dunia, Ilitengwa maalumu ( hii haiondoi kuwa National Park;
Ndio maana ikawekewa Mamlaka yake maalumu NCAA, badala ya kutegemea TANAPA peke yake;
Ila ipo pia Under Tanapa kwa Nationa park, ni Mbuga ya Pili kwa Ukubwa Hapa Tz