Big No.....yaani hakuna kitu kinaitwa kurudiana au ndoa Mkuu kama umeona hakuna Msaada Wa kuachana bora ukae kimya heri nusu Shari kuliko Shari kamili .....SIMTAKI elewa please....ata kama Ni kugawana heri kuliko kurudiana...Acha Basi kumpoteza mwenzio, usumbufu wote huo wa Nini! Mwanasheria atamlipa maneno! Sheria ya ndoa unaijua kweli we! We mpoteze mwenzio! Hapa mawili, mlipe au bariki ndoa, mengineyo utakuja Tena hapa ukilialia hasa akipata kocha mzuri huyo mkeo!
Sawa kabisa Mkuu .....asantehana chake hapo akienda kushitaki mahakamani watamdharau na kumuona ana njaa tu.
Ila akianzisha kesi usikurupuke kuwa karibu na mwanasheria ufuate ushauri wake kwenye kila hatua ukibugi atakutia hasara
Ok ok ok, Basi pay her off ili asikusumbue Tena! Wengine huwa tunatamani kumwacha Kila kitu ili kuondoa ghasia, we bado unajishauri kumpa sehemu ya mlichochuma mpaka ushikiwe combo (mwanasheria/mahakana) ya Nini yote haya ya kujidhalilisha!Big No.....yaani hakuna kitu kinaitwa kurudiana au ndoa Mkuu kama umeona hakuna Msaada Wa kuachana bora ukae kimya heri nusu Shari kuliko Shari kamili .....SIMTAKI elewa please....ata kama Ni kugawana heri kuliko kurudiana...
Mtoa mada jibu la kisheria ndio hili. Unaenda kugalagazwa mahakamani mchana kweupeKisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:
1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke...
Yaani MTU sitambuliki kwao nimuachie Mali ....teteeeee you're kidding ...eti kisa Ni kujidhalilisha .....mbele ya jasho langu.....No let it be at a kama nitabakia na bukta tu.....let it be....ila siyo kushindwa kizembe hivyo...Ok ok ok, Basi pay her off ili asikusumbue Tena! Wengine huwa tunatamani kumwacha Kila kitu ili kuondoa ghasia, we bado unajishauri kumpa sehemu ya mlichochuma mpaka ushikiwe combo (mwanasheria/mahakana) ya Nini yote haya ya kujidhalilisha!
You might end up paying more! Be careful!Yaani MTU sitambuliki kwao nimuachie Mali ....teteeeee you're kidding ...eti kisa Ni kujidhalilisha .....mbele ya jasho langu.....No let it be at a kama nitabakia na bukta tu.....let it be....ila siyo kushindwa kizembe hivyo...
Baada ya kuangalia atatokaje yeye anaendeshwa na mihemkoYou might end up paying more! Be careful!
Teteteeeeh...........haya bwana yupo kwao hivi sasa
Tafuta mwanasheria mzee huyo dada ataku-out smartKutoka kwenda wapi na nimeishaleta mwanamke mwingine
Halafu fuata taratibu oa sio unabeba beba majanamke tu ovyo ovyoKutoka kwenda wapi na nimeishaleta mwanamke mwingine
Oh, kumbe ndio iko hivyo Tena!? Huyu wa Sasa umefunga naye ndoa!? Maana nae anaona mchezo wote, uwe making Sana, maana yule umemwita hawala tu uliyedumu naye miaka 3, huyu naye anakusoma tu, nirudie Tena, uwe makini Sana kwa hatua unazochukua juu ya huyo mkeo wa zamani, mliechuma nae mpaka kujenga 'choo'!Kutoka kwenda wapi na nimeishaleta mwanamke mwingine
Jamaa Kama ana wenge hivi Mimi mtu wa hivi siwezi kumshauri atayaona mwenyeweOh, kumbe ndio iko hivyo Tena!? Huyu wa Sasa umefunga naye ndoa!? Maana nae anaona mchezo wote, uwe making Sana, maana yule umemwita hawala tu uliyedumu naye miaka 3, huyu naye anakusoma tu, nirudie Tena, uwe making Sana kwa hatua unazochukua juu ya huyo mkeo wa zamani, mliechuma nae mpaka kujenga 'choo'!
Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:
1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke....