Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Acha Basi kumpoteza mwenzio, usumbufu wote huo wa Nini! Mwanasheria atamlipa maneno! Sheria ya ndoa unaijua kweli we! We mpoteze mwenzio! Hapa mawili, mlipe au bariki ndoa, mengineyo utakuja Tena hapa ukilialia hasa akipata kocha mzuri huyo mkeo!
Big No.....yaani hakuna kitu kinaitwa kurudiana au ndoa Mkuu kama umeona hakuna Msaada Wa kuachana bora ukae kimya heri nusu Shari kuliko Shari kamili .....SIMTAKI elewa please....ata kama Ni kugawana heri kuliko kurudiana...
 
hana chake hapo akienda kushitaki mahakamani watamdharau na kumuona ana njaa tu.
Ila akianzisha kesi usikurupuke kuwa karibu na mwanasheria ufuate ushauri wake kwenye kila hatua ukibugi atakutia hasara
Sawa kabisa Mkuu .....asante
 
Big No.....yaani hakuna kitu kinaitwa kurudiana au ndoa Mkuu kama umeona hakuna Msaada Wa kuachana bora ukae kimya heri nusu Shari kuliko Shari kamili .....SIMTAKI elewa please....ata kama Ni kugawana heri kuliko kurudiana...
Ok ok ok, Basi pay her off ili asikusumbue Tena! Wengine huwa tunatamani kumwacha Kila kitu ili kuondoa ghasia, we bado unajishauri kumpa sehemu ya mlichochuma mpaka ushikiwe combo (mwanasheria/mahakana) ya Nini yote haya ya kujidhalilisha!
 
Usikute mkeo/hawala naye anatuatilia huu Uzi!
Acha tu afuatilie ....maana huu Uzi siyo kwamba ndiyo mahakama au sheria .....au wakili ...apa napanga tu ma-file na point za kumpindua mdai wangu
 
Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:

1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke...
Mtoa mada jibu la kisheria ndio hili. Unaenda kugalagazwa mahakamani mchana kweupe
 
Ok ok ok, Basi pay her off ili asikusumbue Tena! Wengine huwa tunatamani kumwacha Kila kitu ili kuondoa ghasia, we bado unajishauri kumpa sehemu ya mlichochuma mpaka ushikiwe combo (mwanasheria/mahakana) ya Nini yote haya ya kujidhalilisha!
Yaani MTU sitambuliki kwao nimuachie Mali ....teteeeee you're kidding ...eti kisa Ni kujidhalilisha .....mbele ya jasho langu.....No let it be at a kama nitabakia na bukta tu.....let it be....ila siyo kushindwa kizembe hivyo...
 
You might end up paying more! Be careful!
 
Kutoka kwenda wapi na nimeishaleta mwanamke mwingine
Oh, kumbe ndio iko hivyo Tena!? Huyu wa Sasa umefunga naye ndoa!? Maana nae anaona mchezo wote, uwe making Sana, maana yule umemwita hawala tu uliyedumu naye miaka 3, huyu naye anakusoma tu, nirudie Tena, uwe makini Sana kwa hatua unazochukua juu ya huyo mkeo wa zamani, mliechuma nae mpaka kujenga 'choo'!
 
Oh, kumbe ndio iko hivyo Tena!? Huyu wa Sasa umefunga naye ndoa!? Maana nae anaona mchezo wote, uwe making Sana, maana yule umemwita hawala tu uliyedumu naye miaka 3, huyu naye anakusoma tu, nirudie Tena, uwe making Sana kwa hatua unazochukua juu ya huyo mkeo wa zamani, mliechuma nae mpaka kujenga 'choo'!
Jamaa Kama ana wenge hivi Mimi mtu wa hivi siwezi kumshauri atayaona mwenyewe
 
Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:

1. Kama mmeishi pamoja miezi 6 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke....

Jamaa kaelezea sahihi ila hapo kwenye ushauri. Inabidi ufikirie, kwa maana mnaweza kuambiwa nyumba uliyojenga wakati mko pamoja ndio mgawane, thamani ya nyumba tuu sio kiwanja, so inaweza kupigwa mnada halafu ile thamani ya nyumba ndio mkawagana ila thamani ya kiwanja yote ni yako.

So mlipe mchango wake tuu asepe.
 
Back
Top Bottom