Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Acha ujinga weweOk ok ok, Basi pay her off ili asikusumbue Tena! Wengine huwa tunatamani kumwacha Kila kitu ili kuondoa ghasia, we bado unajishauri kumpa sehemu ya mlichochuma mpaka ushikiwe combo (mwanasheria/mahakana) ya Nini yote haya ya kujidhalilisha!