Msaada: Hii mimba imetokeaje?

Msaada: Hii mimba imetokeaje?

mkuu ipo hiyo mimba ikawepo na bado ukapata hedhi .. hata me ilinitokea mpaka nikafika miezi mitano ikaacha ni yako hiyo
hayo mavitu ya kuzuia mimba huwa yana mauza uza kibao, kwahyo wala usishangae hiyo mimba ni yako kabisaaaaaaaaaaaaa
hivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periods
 
hivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periods
Hupati siku zako ila ukipunguza kunyonyesha utaanza kupata.. ila pia inategemea na mwili wa mtu
 
Be yourself bro. Mkeo ni mjamzito hivyo usimpe tena mawazo kuwa huijui hiyo mimba. Sasa ongeza mapensi na hiki ni kipindi cha matunda, mpe matunda mengi, ale, aongeze damu, kijacho awe bonge bonge. Naomba niseme, masindano haya sio 100% protection, Hivyo, yaweza kutunga hata ukipiga sindano leo. Lea mimba, kijacho aweza kuwa our next presidor.
 
Mke wako, papuchi umepiga mwenyewe alafu unatuuliza sisi tena eti mimba imetokeaje
 
Mkuu kama mkeo alikuwa anaendelea kunyonyesha vzr kila siku haikuwa na sababu ya kutumia sindano kuzuia mimba maana kunyonyesha ni njia moja wapo za kuzuia kupata ujauzito
 
hivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periods
shost hata mimi sijazaa, ila wenye uzoefu wanasema inategemea kuna wengine hawapati na wengine wanapata kama kawaida
 
Hahahaaaa!!!!!
nimecheka mpaka machozi yamenitoka duh.
Tabia mbaya hiyo utamuua mwenzako hahaha........
Munni yaani hiyo mimba ni msala asikwambie mtu huyu binti anatakiwa skul...yaani wazazi wake wakijua nimempa mimba tena hawatoniacha
 
hivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periods
Mi niliendelea kama kawaida lakini ndo inahitaji umakini maana ukicheza tu mimba nyingine inaingia
 
1. Msitoe mimba
2. Inawezekana kabisa kuwa mjamzito na ukaona siku zako pia
3. Inawezekana alichoma sindano kitu kikiwa kimeshaingia,hivyo vitu ni vya kuwa navyo makini sana,ukijisahau tu basi,au kuchanganya tarehe goal
 
Back
Top Bottom