Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Hehehehehemxiuuu[emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yu wea sapozdi tu bi mai waifu...wi wea sapozdi tu bi hepi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehehemxiuuu[emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu ipo hiyo mimba ikawepo na bado ukapata hedhi .. hata me ilinitokea mpaka nikafika miezi mitano ikaacha ni yako hiyo
hivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periodshayo mavitu ya kuzuia mimba huwa yana mauza uza kibao, kwahyo wala usishangae hiyo mimba ni yako kabisaaaaaaaaaaaaa
Hupati siku zako ila ukipunguza kunyonyesha utaanza kupata.. ila pia inategemea na mwili wa mtuhivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periods
ok asante sana nataka kuzaa mwakani natafuta baba kijachoHupati siku zako ila ukipunguza kunyonyesha utaanza kupata.. ila pia inategemea na mwili wa mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisehh!!Hehehehehe
Yu wea sapozdi tu bi mai waifu...wi wea sapozdi tu bi hepi
Kila la kheriok asante sana nataka kuzaa mwakani natafuta baba kijacho
Sasa hivi umekuwa astronaut mzuriHupati siku zako ila ukipunguza kunyonyesha utaanza kupata.. ila pia inategemea na mwili wa mtu
shost hata mimi sijazaa, ila wenye uzoefu wanasema inategemea kuna wengine hawapati na wengine wanapata kama kawaidahivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periods
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hivi umekuwa astronaut mzuri
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
Mi niliendelea kama kawaida lakini ndo inahitaji umakini maana ukicheza tu mimba nyingine inaingiahivi ukitoka kujifungua na unanyonyesha unapata siku zako kama kawaida? sijawai kuzaa mwenzenu nielewesheni maana nasikia ukizaa wakati wa kunyonyesha no periods