Msaada: Hii vita mimi na Wife

No Escape2

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
228
Reaction score
323
Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari, mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja!

Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao akili zao kama sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
 
Siyo rahisi, hapo solution ni baba kumwachia mama TV.

Ila awe anarudi muda ambao taarifa imeshaisha. Hakuna sababu ya kuwahi home kuja kugombana.

Mie naona rahisi ni hiyo

Mmoja atakuwa mfano anaangalia tamthilia bedroom,mwingine habari sitting room
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…