No Escape2
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 228
- 323
Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari, mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja!
Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao akili zao kama sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao akili zao kama sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.