Msaada: Hii vita mimi na Wife

Unless nimehamia kwa mke wangu, au mimi ni baba wa nyumbani.

Otherwise hilo halina discussion na halitakiwi kuwa na discussion.

Litakuwa halina discussion kama utafanya kama ulivyoandika huko juu,kurudi baada ya taarifa ya habari kuisha huku mke akiangalia tamthilia nyumbani
 
Wee jamaa bhana, yaani mwanaume unakuja kulalamika kugombania remote na mkeo halafu unaita ni vita. Kilichoisha madukani ni nini, TV au remote?
 
Hebu ni-PM namba za mkeo nimweleweshe namna ya kuishi na mwanaume wa dar, usitujazie servers zetu za JF kwa threads za hizi
 
Kwani taarifa ya habari mbona haichukui mda mrefu hivo, angalieni wote taarifa, then wekeni tamthiliya mbona simple tu.

Mwambie wife ni muhimu kucheki taarifa ya habari, ili mpate matukio ya siku na mjue nini kinaendelea nchini, isije likatolewa tangazo mnatakiwa kuhamia sayari nyingine Mars huko msijue mkabaki wenyewe kwa hii Earth [emoji3]
 
Ushauri mzuri huu labda hapo kwenye mars atanielewa ntajaribu.
 
Mkuu....
Hivi hili nalo la kuanzisha thread kweli...[emoji848][emoji848]
Amakweli wanaume tunatofautiana sana....[emoji23][emoji23][emoji23]
Well said. Inashangaza kuona mada ndofo ndogo kama hozi zinajadiliwa. Tumedilisika agenda kabisa
 
Ndo maana tunawashauri muwe mnakunywa pombe,
Ungekuwa unakunywa serengeti lite ungemuaga mkeo kuwa unaenda kuangalia taatifa ya habari kwenye grocery iliyo jirani.
Nna hakika mkeo angehakikisha hiyo taarifa ya habari unaangalizia nyumbani tena kwa yeye kukumbuka na kuweka channel haraka sana kila muda unapowadia.
 

Hili ndilo nililomwambia.

cc Joanah
 
Wanaume tumeisha, wamebaki wavulana. Unaanzaje kugombania rimoti na mkeo hadi mnanuniana😀😀
 
Hahaha.....sijajua umri wako ila kadri utakavyokua utakuja kugundua mwanamke anamiliki kila kitu hapo ndani, sasa kama kaamua kuangalia tamthilia inabidi uwe mpole au ujiongeze kwa namna nyingine. Mimi ninayo TV ndogo ya nchi 32, sijaitumia kwa zaidi ya miaka 3 baada ya kununua TV kubwa, nina mpango wa kununua king'amuzi cha azam niifunge chumbani, yaani chumbani kuwe na TV na sebuleni kuwe na TV. Mambo mengine unamaliza kikubwa wala huhitaji kuja kulialia huku..
 
Na sikulibisha

Nafikiri mleta mada atachagua lipi litamfaa....kama ni kununua TV nyingine ama kufuata mnayomwambia wengine

Nakuibia siri, usije ukakubali mwanume wako awe na hii ratiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…