Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nunua TV nyingine, moja ikae sitting room nyingine weka study room, akiangalia tamthilia hamia study room weka mpira au taarifa ya habari
Khee...sio nyumba zote Zina study room mom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua TV nyingine, moja ikae sitting room nyingine weka study room, akiangalia tamthilia hamia study room weka mpira au taarifa ya habari
Nakuibia siri, usije ukakubali mwanume wako awe na hii ratiba.
Ndio shida ya mwanaume kuwahi kurudi nyumbani hiyo, leo mnagombania remote kesho mtaanza kugombana wenyewe.
Karibu counter mkuu.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Kama ni suala la TV nitaangalia chochote anachotaka yeye
Sijawahi kuwa na upendo na kipindi chochote cha TV kiasi cha kugombania na mtu
Aisee nina muda mrefu sana sijaangalia taarifa ya habari home, mara nyingi huwa inanikutia pale counter alafu huwa naangalia kibubu bubu tu maana kuna kuwa na mziki kutoka kwenye radio......btw taarifa za habari now days mpaka inafika jioni tayari habari zote unazo, kuanzia JF, Twitter mpaka Fb zimerahisisha sana kupata habari siku hizi.😆😆😆 Shenzy type..lol...mie news it's a must. Kwangu Naona nyumba nzima ni wapenzi wa kandanda...bas nisiyependa najinyanyua kwenda kulala...!
*Wajumbe sio watu*
Mkuu, kwanza mimi sijjui hata kubadilisha channel za TV.
Pili muda wangu wa kuangalia habari, ni muda ambao wife na watoto wanaenda kulala na nikimaliza kuangalia habari, nazima tu switch ya ukutani and done
Aisee nina muda mrefu sana sijaangalia taarifa ya habari home, mara nyingi huwa inanikutia pale counter alafu huwa naangalia kibubu bubu tu maana kuna kuwa na mziki kutoka kwenye radio......btw taarifa za habari now days mpaka inafika jioni tayari habari zote unazo, kuanzia JF, Twitter mpaka Fb zimerahisisha sana kupata habari siku hizi.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Haha 😅, a free soul! Na tunachelewa kuoa kwa sababu kama hizo za kugombaniana remote....kuna lifestyle ukizoea unaona maisha safi kabisa.Hako katabia sio kazuri mjue...!kakushinda bar. .labda uwe hujaoa.
Sasa unashindwa kutoa ka milion 2.5/3 kununua ka tv kako wewe kuchek mpira?Wacha kupigizana kelele na wife,muache aangalie tamthilia.Kwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Haha 😅, a free soul! Na tunachelewa kuoa kwa sababu kama hizo za kugombaniana remote....kuna lifestyle ukizoea una maisha safi kabisa.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Sasa unashindwa kutoa ka milion 2.5/3 kununua ka tv kako wewe kuchek mpira?Wacha kupigizana kelele na wife,muache aangalie tamthilia.
Mkeo anapenda ligi tu na kwa namna yake hakuheshimu,kwangu mida ya taarifa ya habari ni habari hakuna mjadala na nyakati za mpira Mr anatujuza mapema basi tunatii!Remote always inakaa mezani utaratibu wa kutembea na remote ni marufuku
Dah! Ilishashindikana,muda wa Taarifa ya Habari ukikaribia,natafuta remote kumbe mtu yupo nayo jioni.
😂😂 Aiseee!Ila kuwa single ni Raha sana..na kama una hela sio za mawazo!
Huu upande wa pili ni kuja kwa makini..🤭!mfano mie maza akija home akimkuta msukuma wangu amevaa kaptura anaona dhambiii.....yaan anaona Kama yuko naked...
Haya na sisi wakija mashemeji muda wote mume anakukata jicho umevaaje🤭🤸🤸🙌!
Single life liheshimiwe aisee
😂😂 Aiseee!
Sure, inataka moyo, lakini muda unafika unakuwa huna jinsi inabidi uingie tu....
Let's meet at the top, cheers 🥂
😅Hiyo vita ya CCM vs CDM humo ndani mbona hatari, kumbe kelele zote humu kumbe kiboko yako yupo nyumbani mkuu 😅Hahhaaha....kila nyumba Ina ratiba zake aisee...mie nakimbiliaga kizima tv km habari ni za ccm..maana mwenzangu ccm kindaki ndaki...sipend wanangu waone habari za ccm bas nazima nawasha! Na yeye hivyo hivyo akiona za chadema anazima anaficha kbs remote🙌🤭🤸! Dah maisha hayaa
😅Hiyo vita ya CCM vs CDM humo ndani mbona hatari, kumbe kelele zote humu kumbe kiboko yako yupo nyumbani mkuu 😅
Let's meet at the top, cheers 🥂