Msaada: Hii vita mimi na Wife

Sasa bro wala usiyumbe,nunua tv nyingine weka room,ili kila mmoja apate anachotaka,kumbuka mkeo ni ubavu wako,ni haki yake kufurahia maisha na wewe pia
 
[emoji28][emoji28] Kugombania mapaja?
Huwa nachekaga sana familia zingine baba anawekewa mapaja watoto wanapewa shingo au tupapatio havina nyama.
Baba bora ni yule anayehakikisha watoto wake wanakula vinono.
 
Nashukuru kwa Ushauri wenu! Wiki Ijayo kununua nyingine naweka bedroom,Mods naomba nihamishie uzi kule Chit- Chat....
Kunua tv nyingine ni uharibifu wa pesa mkuu, minakushauri fukuza huyo mwanamke ambae hakufundishwa adabu...[emoji41][emoji41][emoji41]
 
[SUP]Mbona rahisi sana, fika nyumbni taarifa ikiwa imeisha kuepusha migogoro na mkeo, unagombeaje limoti mzee, taarifa hata kwenye cm unaangalia[/SUP]
 
Mjomba unatunagusha wanaume...

Familia haipaswi kuwa na TV moja. Kama huna uwezo basi iliyopo mwachie mkeo na watoto.
 
[emoji28][emoji28] Kugombania mapaja?
Huwa nachekaga sana familia zingine baba anawekewa mapaja watoto wanapewa shingo au tupapatio havina nyama.
Baba bora ni yule anayehakikisha watoto wake wanakula vinono.
Upo sahihi mkuu.Watoto ndiyo wanapaswa kupata lishe iliyo Bora zaidi ya watu wazima.Afterall,watu wazima wameshakula vizuri tangu wakiwa wadogo.Firigisi,maini,mapaja na nyama zote nzurinzuri wapewe watoto.Wakubwa wale miguu,shingo,vichwa na vipapatio.Viva watoto...Viva!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu nunua katv kadogo
Mkuu nunua katv kadogo funga chumbani basi yyte kati yenu atumie
 

Kama vp usilipie kingamuzi ili zibakie local upate kutizama taarif ya habari
 
Hii hapana...Na wao wakioa mapaja yao atakula nani?
 
Sasa bro wala usiyumbe,nunua tv nyingine weka room,ili kila mmoja apate anachotaka,kumbuka mkeo ni ubavu wako,ni haki yake kufurahia maisha na wewe pia
Safi bro. Nashukuru kwa Ushauri maana kuna singles humu mchango yao sielewi kabisa,wao wanaishi na vimada wanachangia wanandoa.
 
Hivi ile saambili usk Kuna Jambo gani jipya, maana kutwa mzima habari zinazunguluka kwenye mitandao. Anyway Kama yeye ana nafasi ya kucheki tv kutwa mzima anashindwa vipi kukuachia ww just half an hour? Huu ni ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…