Msaada: Hii vita mimi na Wife

Msaada: Hii vita mimi na Wife

Kwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Sasa bro wala usiyumbe,nunua tv nyingine weka room,ili kila mmoja apate anachotaka,kumbuka mkeo ni ubavu wako,ni haki yake kufurahia maisha na wewe pia
 
Mwanaume anakaaje nyumbani kugombania rimoti na watoto wakiwa na mama yao.Mwanaume hatakiwi hata kula chakula cha nyumbani kwake.Akale anaposhinda!Ataanza kugombania mapaja ya kuku na watoto mwishowe.Mwanaume ni kujipa mateso.(Tumia akili yako)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28] Kugombania mapaja?
Huwa nachekaga sana familia zingine baba anawekewa mapaja watoto wanapewa shingo au tupapatio havina nyama.
Baba bora ni yule anayehakikisha watoto wake wanakula vinono.
 
Nashukuru kwa Ushauri wenu! Wiki Ijayo kununua nyingine naweka bedroom,Mods naomba nihamishie uzi kule Chit- Chat....
Kunua tv nyingine ni uharibifu wa pesa mkuu, minakushauri fukuza huyo mwanamke ambae hakufundishwa adabu...[emoji41][emoji41][emoji41]
 
[SUP]Mbona rahisi sana, fika nyumbni taarifa ikiwa imeisha kuepusha migogoro na mkeo, unagombeaje limoti mzee, taarifa hata kwenye cm unaangalia[/SUP]
 
Kwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Mjomba unatunagusha wanaume...

Familia haipaswi kuwa na TV moja. Kama huna uwezo basi iliyopo mwachie mkeo na watoto.
 
[emoji28][emoji28] Kugombania mapaja?
Huwa nachekaga sana familia zingine baba anawekewa mapaja watoto wanapewa shingo au tupapatio havina nyama.
Baba bora ni yule anayehakikisha watoto wake wanakula vinono.
Upo sahihi mkuu.Watoto ndiyo wanapaswa kupata lishe iliyo Bora zaidi ya watu wazima.Afterall,watu wazima wameshakula vizuri tangu wakiwa wadogo.Firigisi,maini,mapaja na nyama zote nzurinzuri wapewe watoto.Wakubwa wale miguu,shingo,vichwa na vipapatio.Viva watoto...Viva!😂😂😂😂😂
 
Mkuu nunua katv kadogo
Kwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.
Mkuu nunua katv kadogo funga chumbani basi yyte kati yenu atumie
 
Kwa kweli Sijui niwalaumu hawa wamiliki wa Tv stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana...Kwa Akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari,mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia nao Akili zao km sisi washabiki wa mpira hawataki kuhadithiwa yaani ni Hatari.

Kama vp usilipie kingamuzi ili zibakie local upate kutizama taarif ya habari
 
Upo sahihi mkuu.Watoto ndiyo wanapaswa kupata lishe iliyo Bora zaidi ya watu wazima.Afterall,watu wazima wameshakula vizuri tangu wakiwa wadogo.Firigisi,maini,mapaja na nyama zote nzurinzuri wapewe watoto.Wakubwa wale miguu,shingo,vichwa na vipapatio.Viva watoto...Viva!😂😂😂😂😂
Hii hapana...Na wao wakioa mapaja yao atakula nani?
 
Sasa bro wala usiyumbe,nunua tv nyingine weka room,ili kila mmoja apate anachotaka,kumbuka mkeo ni ubavu wako,ni haki yake kufurahia maisha na wewe pia
Safi bro. Nashukuru kwa Ushauri maana kuna singles humu mchango yao sielewi kabisa,wao wanaishi na vimada wanachangia wanandoa.
 
Hivi ile saambili usk Kuna Jambo gani jipya, maana kutwa mzima habari zinazunguluka kwenye mitandao. Anyway Kama yeye ana nafasi ya kucheki tv kutwa mzima anashindwa vipi kukuachia ww just half an hour? Huu ni ubinafsi.
 
Back
Top Bottom