Msaada: Hivi huu ni ubovu au ni uzima wa kiungo changu?

Niko ukweni na baba mkwe wangu, nimejikuta nacheka kwa sauti kubwa mpaka kauliza mkwe wacheka nn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
ha haa wachekeshe na wewe
 
Labda uniambie una ub00 mdogo mnoooo. Urefu uwe kidole kidogo cha mwisho cha Mwala na upana kijiko kikubwa cha chai.

Hapo ndiyo utaubana na hautakusumbua.

Komedi zako wapelekee watoto.
Haya mkubwa umesikika, kama ni mambo ya kitoto mbana ww mkubwa umeyaingilia au ndio kubwa jinga wenyewe ama team wehu..
 
Tembea na kirungu ukiona inaleta mambo za kudisha unajitandika kwenye kifundo cha mguu wowote maumivu yakee cdhan Kama kitatingishikaa hata upapaswe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mkubwa umesikika, kama ni mambo ya kitoto mbana ww mkubwa umeyaingilia au ndio kubwa jinga wenyewe ama team wehu..
Ama kweli wewe ni tatizo, kwahiyo ukiwa unadanganya watu unataka uachwe tu?

Peleka komedi zako kwa watoto.
 
bado huna majukumu, ukipata majukum mawazo ya kipuuzi mda wote adi dushee inasimama yatakutoka.
 
Mkuu Pole sana...daaah jaribu kutoruhusu akili kuwa controled na uume huwa ni hatari sana.! Cha muhimu ni kufanya mazoezi mno na kuwa na control ya kutowaza 'niaje vipi' ukiwa karibu na manzi
 
Pole mkuu mwone daktar.......

ILA UNGEKUA MWALIMU NA UNAFUNDISHA SHULE ZA WASICHANA SIJUI INGEKUWEJE MKUU... KWA HIYO WW UNGEKUA NI KUSIMAMISHA DUSHELE MWANZO MWISHO UWAPO KAZINI
 
Faiza foxy uje huku watu wanakutania.
 
Ni umri upo kwenye kilele,just continue to play with your mmborro🙂
 
Una kijela a.k.a Upwiru a.k.a Ukakasi a.k.a tamaa za kuku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…