Habari zenu wana JF,
Husika na kichwa cha habari.
>>Nimekua nina hari flani inanitokea sijui ni ubovu au ni uzima, yaani nikiongea hata kama sio masuala ya mapenzi au kushikana mkono na msichana dushe (p€n¡$) inasimama sana na kuanza kupata hamu ya kufanya sex.
Hari hii imekua inanitesa sana, nashindwa kua comfortable coz inasimama hadi inabidi dushe nilibane na mkanda kwa juu, au kama nimekaa naanza kukunja kunja miguu.
Naombeni mnisaidie ushauri wenu kama ni ugonjwa nifanyaje au kama ni uzima nifanyeje ili kujiepusha na hilo tatizo.
>>> Pia hata kama nikifanya sexual saa nzima up to the maximum satisfactive ikipita hata dakika kumi nakua nahamu ya kurudia tena, In short hamu hainiishi. Je nahuu niugonjwa au ni uimara
Ahsanteni.
Ray modray jr