Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Huyo ex wako alikuwa anakupenda sana
 
God is great
 
Malizia mkuu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] napiga picha palikuwa je nabaki nacheka tu
 
Mm nikipima nikijua ninao wiki watu watajua nimeasirika nitakonda paka nibaki jicho tu
Pole mkuu ila siku ukipima na ukakuta ni mzima naamin utaaanzia hapo ujasir wa kuwa unapima pima lazima utataman upime mara 3 kujua afya yako,ila siku ya kwanza ni nouma,mimi siku ya kwanza nilipima na sikuchukua majibu nikayaacha ,tatizo nilikuwa mjamzito ilibid nirud tena safar ingine sitasahau aisee kitete nilichokuwa nacho ila nilipopimwa kukutwa mzima nikawa ndio mpimaj sasa mpk sasa siogop lolote
 
Ona Mungu alivyokupigania but hukujielewa...malizia
 
Usijaribu tena mr. Utapotea hivvhiv
 
Nakuambi unaweza kulowa kwa jasho ukimwi ni kitu kingine kabixa
 
Kumbe hiyo ndio dawa yao hahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…