Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

... Miaka kadhaa nyuma nilukutana na changamoto kama hii : Nilikutana na mlimbwende mmoja kwenye harusi ya jamaa yangu na nikamzimikia kweli. Kila nikimsomesha wapiii, na baada ya miezi kadhaa nika give up,maisha yakasonga. Baadae nikapata mdada mwingine tunaendelea naye for some time, maybe a year, tukaachana.One day nikakutana na yule mlimbwende na surprisingly this time kum test kidogo tuu anakubali, na tukapanga kesho tufanye yalee mambo yetu. Kesho yake tukakutana, kikaanza kinywaji then tukaingia room, sasa wakati ndo tunaanza kupasha kabla ya mechi simu ikaanza kuita nikawa nachuna, yule mlimbwende anahisi nipokee kwanza labda ni muhimu, nikapokea, kumbe ni yule demu wangu tuliyeachana naye, nikataka kukata simu but akaniwahi kwamba.. '' wewe huyo uliyenaye hapo ni muathirika, na kama unafikiri ni uongo mpigie rafiki yako fulani muulize '' akakata simu!! Aisee nilipaniki hatari, mlimbwende akaniuliza vipi tena?? Nikamdanfanya kumetokea ajali na mdogo wangu yuko mahututi, mchezo ukaishia pale na akaondoka zake. Nitampigia jamaa yangu kupata uhakika, akasema ni kweli huyo ni muathirika, aisee huo mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu... Baada ya hapo nikawa kila miezi sita napima but was found OK. Baadae, after a year or so yule mlimbwende akafariki kwa hilo tatizo.
Huyo ex wako alikuwa anakupenda sana
 
Nipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
God is great
 
Ni hiv huyu dada anakaa arusha nilikutanaga naye kwenye semina moja hiv tuka badilishana contact ki ukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani ata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hv hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wasiku alinikubalia mapenzi ya kaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajiri ya mrembo ....
Malizia mkuu
 
Huu uzi umenikumbusha mbalii!!! Kiuna siku niko na bae... Tumemaliza mechi nikanyanyuka na kwenda kabatini nikameza kidonge kimoja cha cipro... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka wa watu aliruka toka kitandani kama ndama, jasho lilimtoka akaja nipana mkono nimuoneshe nimemeza dawa gani, ata nilivomwambia hakuniamini mpaka akajionea mwenyewe !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] napiga picha palikuwa je nabaki nacheka tu
 
Mm nikipima nikijua ninao wiki watu watajua nimeasirika nitakonda paka nibaki jicho tu
Pole mkuu ila siku ukipima na ukakuta ni mzima naamin utaaanzia hapo ujasir wa kuwa unapima pima lazima utataman upime mara 3 kujua afya yako,ila siku ya kwanza ni nouma,mimi siku ya kwanza nilipima na sikuchukua majibu nikayaacha ,tatizo nilikuwa mjamzito ilibid nirud tena safar ingine sitasahau aisee kitete nilichokuwa nacho ila nilipopimwa kukutwa mzima nikawa ndio mpimaj sasa mpk sasa siogop lolote
 
Ndungu yangu mmoja upande wa mama angu yupo pale voda Mama angu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizia me ndio nataka kaz bwana nikaenda nikachonga nae nika mueleza ukweli kwamba sio mim ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume cv kweli bwana mwisho wa siku akatuma cv Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabid sasa aje town kweli kafika Dar aka akafikia kwa shangazi ake kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nirifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miez mitatu akapanga sinza apo kilanikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana uwezi amin miez 5 yote kidume nakula calendar tuuh tuuh iyo siku nilienda kwake nusu tupigana eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kua nitakuja kulala uko leo vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani nikaenda geto kwangu mwenge chukua ndom na kurud usiku ule ule
Ona Mungu alivyokupigania but hukujielewa...malizia
 
Mkuuu pole sana, CASE yako inataka fanana flani na tukio lililo nitokea kipindi cha nyuma. Ingawa mazingira tofauti kidogo.

Nakumbuka way back nilikuwa nasoma shule moja ya boys, tulikuwa tukikaaa kota , kama hujuavyo kota kuna mchanganyiko wa watu wengi.

Pale kuna dada mmoja niliwahi toka nae mara kadhaaa, sasa akaja sist wake toka huko alikotoka.

Yule sist alikuwa mzuri sana, ila hakuwa anasoma wala nini. Aliishia Darasa la saba, aliletwa pale ajiendeleze kibiashara, ulikuwa ukimtongoza tu kutokana na maadili yao huko anakukwepa hatari.

Ila kama hujuavyo hata simba na ukali wake bado analiwa mzigo. Sijui nini kilimsibu akaanza gawa pale kota kwa wazeee kama watatu hivi, na wao wazee walikuwa HIV+ inajulikana kwa wenyeji wa pale na wafanyakazi wenzao, Hakuna siri

Wazee walikahonga kadada kale wakawa tafuna, sasa kuna kipindi nilikutana nacho nikawa nampanga panga, namchezea akija home , till kuna siku tulaelewana usiku mida baada ya usiku.


Sasa bwana, siku hiyo kama TANESCO walijua, umeme ulikata nikawa nimekaa chemba moja nje (kijiweni tu ).

Yule binti alitoka kununua mishumaaa, ilikuwa kama saa Tatu usiku, daah nika mtaiti, shika shika kiuno, akasema acha haraka uta unguza picha ngoja nipeleke mishumaaa ,kisha nioge then nakuja au UNATAKA KULA VICHAFU???

Bandugu, kumbe nyuma yangu alikuwa anapita mshua ( alivunga ). Kufika ndani tu, katumwa dogo aje niita, nazama ndani , naona kalabai imewaka vema, naonekana vizuri kabisa.

Yupo mshua, maza na broo. Mzeee alichosema haya ongeeni na ndugu yenu huyo, anaambiwa akaoshewe ili ale visafi, dingi hakuwahi zingua hata siku moja hizo ishu lakini that day alitoa intro nzuri, takatifu
Maza akakazia nika kabidhiwa kwa bro ndio akanichana vingi sana.

Ebwana nilkuwa mpole kama nimefumaniwa, ile kutoka nje, baada ya mazungumzo yale, nikasepa geto, lilikuwa geto la nje na share na broo.

Daah yule demu akaja kugonga, bro akaniulza nani huyo, nika mjibu yule demu.

Bro mwenyewe hakuwaa aged kivile about 5years older,

Sikuamini alicho fanya, kaniuliza unajua kutumia ndom nikasema ndio. Akanipa SALAMA enzi hizo walipewa na FEMINA.

Nikaenda nyooosha goti kwa tahadhari sana.........


KITU AMBACHO NIKIKUMBUKA NAJIONA MJINGA, NILIKUWA NACHEZA KAMALI AISEEEE
Usijaribu tena mr. Utapotea hivvhiv
 
Pole mkuu ila siku ukipima na ukakuta ni mzima naamin utaaanzia hapo ujasir wa kuwa unapima pima lazima utataman upime mara 3 kujua afya yako,ila siku ya kwanza ni nouma,mimi siku ya kwanza nilipima na sikuchukua majibu nikayaacha ,tatizo nilikuwa mjamzito ilibid nirud tena safar ingine sitasahau aisee kitete nilichokuwa nacho ila nilipopimwa kukutwa mzima nikawa ndio mpimaj sasa mpk sasa siogop lolote
Nakuambi unaweza kulowa kwa jasho ukimwi ni kitu kingine kabixa
 
Huu uzi umenikumbusha mbalii!!! Kiuna siku niko na bae... Tumemaliza mechi nikanyanyuka na kwenda kabatini nikameza kidonge kimoja cha cipro... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka wa watu aliruka toka kitandani kama ndama, jasho lilimtoka akaja nipana mkono nimuoneshe nimemeza dawa gani, ata nilivomwambia hakuniamini mpaka akajionea mwenyewe !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hiyo ndio dawa yao hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom