Dhu! Ujipendi weweKwa lecture niliyopewa leo nimepewa tips za kuweza kufanya naye mapenzi kwa kutumia condom au bila condom hila hii ya kavu sito itumia pia jinsi ya kuishi naye adi siku atakayo gundua me najua kuwa yeye nimuathirika nimesisitiziwa sana juu ya mahusiono yetu na nimepewa adi stori ya kupiga naye kabla ya tendo daah Madoctor ni shidaah kesho naenda nae movies au beach
Daaah hadi nimesinyaaa, hivi vidonge nasikiaga tu sjawahi kuviona, nimeogopa sana acha nitulizane tuKupima ndo usalama zaidi. Hizo condom ni mbwembwe tu. Zikipasuka je. Upate pressure Kama ya mtoa mada. Anashindwa hata kutupa full story. Analeta nusu nusu. Hiyo kitu ni hatari asee
Hahaha!!! Mi sikupanga ... Nilikua naumwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]... Usijaribu, usije ambulia vibao kabla ata ujajielezaKumbe hiyo ndio dawa yao hahaaaaaa
Nakushauri usimweleze kwa harakaNipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
Tulizana tu mkuu!Daaah hadi nimesinyaaa, hivi vidonge nasikiaga tu sjawahi kuviona, nimeogopa sana acha nitulizane tu
Nimetulia sana na naendelea kutulizana kwa kweliTulizana tu mkuu!
... Ni kweli, yaani siku hiyo kuna rafiki yake alituona ndo akampigia simu, kabla ya kunipigia alituma msg but nikawa sijacheki, ndo akaamua kunipigia. Niliporudi hiyo safari nikamtafuta maana pamoja na msaada wake kujilisha pia nilitaka kujua alijuaje kwamba muda ule nilikuwa na yule mlimbwende, mpaka na guest. A kaniambia kuna rafiki yake alituona na akamstua, yeye akamuomba atufuatilie mwanzo mwisho. Maisha haya...Huyo ex wako alikuwa anakupenda sana
Polee sana mkuu..Nipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
Yaani mi hapa najuta kusoma thread hii. Nimeishiwa nguvu na usingizi. Mbaya zaidi naisi kamkia kangu hakapo au hakafunction.Tulizana tu mkuu!
Impossible possibleNatamani mwanaume wangu ashushwe awe malaika asiwe mchepukaji
Kwanini pressure iwe upande wake tu? Wewe umejithmini kwanza?Nipe mbinu walahi. Ili kuepusha hizi pressure
Unaweza ukameza paracetamol mtu akazimia akifikiri ni ArvHahaha!!! Mi sikupanga ... Nilikua naumwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]... Usijaribu, usije ambulia vibao kabla ata ujajieleza
Hahaha! Yaani dawa zozote tu ni za kuweka mbali!!! Unaweza mpa presha mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ukameza paracemot mtu akazimia akifikiri ni Arv
Watu tunatakiwa tuwe wakweli tuu..Hahaha! Yaani dawa zozote tu ni za kuweka mbali!!! Unaweza mpa presha mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]