Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Ni ARV mzee..ndo vyenyewe hivyo asee..mi nafanya kazi hosptl...na hivyo nacheza navyo kila siku...

Ni vyenyewe mzee
Hivi naskia ARV zinanenepesha mifugo kama mbuzi, ng'ombe hata kuku. Kweli dokta??
 
Njoo kwangu tu mpendwa, sichepuki na wewe si mchepukaji lakini.
Tatizo la wachepukaji hawana alama usoni,laiti MUNGU angekuwa amesema kila mchepukaji akichepuka anatolewa kiungo kimoja baada ya kingine. Basi kuna watu wangebaki na mikwaju yao tu
 
Cipro kazi yake ni nini
 
Ni bora ulete picha ya box lake tukuambie kuliko kutumia kidonge ......

Hii ni kwasababu viwanda siku hizi vinatabia ya kutoa dawa zakufanana umbo. ..
...mfano kiwanda cha Pom au Mylan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…