Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Both of you nakubaliana nanyi, Kabissa binafsi kuna jambo nilimkosea mke wangu na ilimsukuma kuchepuka pengine kwa sababu ya hasira, nilikuja kugundua badae alichokifanya. As gentleman nilimsamehe na Maisha yaliendelea.
kuna makosa mengine pale unapogundua ww ndio chanzo.na Kama mtu unampenda huna budi kumsamehe.hongera mkuu sio wote wanaweza Fanya hivi.
 
Mkuu mm kuna mmoja nilipiga sanaa ila alikuwa hataki bila ndom, sasa nikajifanya mjanja nikachomoa ndom katikati ya gem, alivojua alinisukuma, sikuona ndani tena sikujua kwann nikafikiri labda alikuwa anaogopa mimba, kumbe alikuwa nao na alijijua.. ni marehem kwa sasa hiyo ilikuwa 2006.. alikufa 2009, mm kupima ilikuwa mziki.. siku ya kwanza nikaenda magomen zahanat pale nikaishia getini nikarud. Mara ya pili niaenda Amref nikasema potelea mbali. Nikapima.. kuanzia hapo hakuna demu nagegeda bila kupima..
 
Ebu muulize kwanza huyo aliyeweka hapo ulipovikuta Mkuu pengine anajua asikimbilie kuwa na wasiwasi pengine ni za kawaida tofauti na unavyofikilia au la nenda uliza hospital ya jirani ili kupata uhakika zaidi.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we noma sana. Kwaiyo sisi wazee CHAPUTA tuendelee tu nakamchezo ketu?
Ahaaa kumbe mpo wengi[emoji36] ebwana hivi mwenyekiti wenu ni nani humu ?
Hii yote ni kwa hisani ya ARV
 
Mawee kumbe ngoma bado ipo,ila ndo shida ya kutembea na mtu usiyemjua background yake alafu vijana wameingia ujasiri wa kula kavu kavu skuiz, mtu hata bima ya afya hana alafu anajitia ushujaa
 
Hvyo..vipo vya rangi kibao...yupo mmoja nilikutana nae baada ya kumgegeda akasema kasahau kumeza...nusu nizimie..nikakumbuka nilivaa....
 
aisee kupima hiyo ni habari nyingine mkuu sijawahi pata huo moyo!, na siku nikija pima ntakuwa na mim napima kila mwezi
 
hahahahaha, u killed it
 
aisee kupima hiyo ni habari nyingine mkuu sijawahi pata huo moyo!, na siku nikija pima ntakuwa na mim napima kila mwezi
Mm nilitaka kuoa ilibid nipime kwanza .. isije ikawa balaaa.
 
kuna makosa mengine pale unapogundua ww ndio chanzo.na Kama mtu unampenda huna budi kumsamehe.hongera mkuu sio wote wanaweza Fanya hivi.
Super women 2 Ahsante, nikweli tulikoseana lakini kwa sehemu nilibaini kuwa nami nilikuwa chanzo kwa kilichotokea. Sikuona sababu ya kumsamehe wife kwa kilichotokea. Naamini yeye au Mimi Hakuna aliye malaika. Maisha yaliendelea.
 
Nimeanza na Uzi huu Jana na Leo nakomaa nao tu.
Wengine mipango umeharibika kabisa
 
Hivyo mtu anaetumia vidonge vya ARV hawez kumuambukiza mtu napenda kujua hili somo
Ni kweli chances za kutoambukizwa ni 99% kama huyo mtu yuko kwenye undetectable status. Hii status inafikiwa pale mwathirika anapotumia ARV na kumaliza wadudu wanaozunguka kwenye damu na akawa anaendelea kutumia dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…