Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Kuna umuhimu wa kupima kabla ya chochote kuanza ktk mahusiano.Huoni kwamba pekenyua yake inaweza kuwa imemuokoa asipate maambukizi? Hasingejua kuna siku angelazimisha angekula kavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna umuhimu wa kupima kabla ya chochote kuanza ktk mahusiano.Huoni kwamba pekenyua yake inaweza kuwa imemuokoa asipate maambukizi? Hasingejua kuna siku angelazimisha angekula kavu.
kuna makosa mengine pale unapogundua ww ndio chanzo.na Kama mtu unampenda huna budi kumsamehe.hongera mkuu sio wote wanaweza Fanya hivi.Both of you nakubaliana nanyi, Kabissa binafsi kuna jambo nilimkosea mke wangu na ilimsukuma kuchepuka pengine kwa sababu ya hasira, nilikuja kugundua badae alichokifanya. As gentleman nilimsamehe na Maisha yaliendelea.
Kweli kabisa mkuu.Kuna umuhimu wa kupima kabla ya chochote kuanza ktk mahusiano.
Mkuu mm kuna mmoja nilipiga sanaa ila alikuwa hataki bila ndom, sasa nikajifanya mjanja nikachomoa ndom katikati ya gem, alivojua alinisukuma, sikuona ndani tena sikujua kwann nikafikiri labda alikuwa anaogopa mimba, kumbe alikuwa nao na alijijua.. ni marehem kwa sasa hiyo ilikuwa 2006.. alikufa 2009, mm kupima ilikuwa mziki.. siku ya kwanza nikaenda magomen zahanat pale nikaishia getini nikarud. Mara ya pili niaenda Amref nikasema potelea mbali. Nikapima.. kuanzia hapo hakuna demu nagegeda bila kupima..nimetumia zaidi ya dakika 90 kusoma huu uzi!!, regardless mleta mada katunga au kweli, huu uzi umenifunza mengi sanaaaaa na umenifanya nigundue vitu ambavyo kiukweli ilikuwa vigumu kupata jibu:
1: kuhusu ARV nilikuwa navisikia ila sikuwahi kuviona machoni, ila kuna ndugu yangu (mjomba) tulikutana kwenye msiba yule yamaa alikuwa na vidonge ving sana kama hcho hcho hadi rangi. na alikuwa anameza maranyingi sana sasa leo nimepata jibu.
2: kuhusu hiyo PEP sijui, hilo ndo nalisikia leo, na wenye kufahamu naomba mnijuze hyo huduma ya ndani ya masaa 72 inatolewa kila hospital au hospital kubwa tu kwa Tanzania? na ni kidonge au ni nin!?
3: nimejifunza kitu kikubwa sanaaa. Yaani nimejikuta namshukuru Mungu kwa kuniepusha salama kwenye michezo yote ambayo nabaniwa, na mim huwa naforce sanaaa ila kuna sehemu kama mbili hv niligonga mwamba, sito sahau kuna mmoja alikuja kwangu nilimkazania alale ila kufikia saa sita usiku baada ya kumforce sana anakataa hadi analia alipanda bodaboda akarudi kwake, sikujua kwa nin!? ila nilivyosoma huu uzi nimesema asante baba,
na mwingine huyo huu ni mwezi wa tatu sasa ananipiga calendar tuu na siyo kawaida, yaani huwa tunafanya vingi ila ikifika swala la sexy anakataa, all in all nasema asante sanaa sitomsumbua tenaaaa na nakiri kuacha huu ujinga utanigharim maisha yangu.
asante sana mleta mada, asanteni wachangiaji wote nimejifunza mengi sana.
*leo nimeanza kukumbuka miaka ya 2003 jinsi nilivyokuwa naogopa ukimwi*
Usichukue hasira kwa maneno ya kuambiw nenda kwa daktari na hata ukikuta ni vyenyewe usimuadhibu maana na wewe utaishia jelaDaaah ni stori ndefu nipeni jibu kwanza la uhakika vyenyewe
Ahaaa kumbe mpo wengi[emoji36] ebwana hivi mwenyekiti wenu ni nani humu ?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we noma sana. Kwaiyo sisi wazee CHAPUTA tuendelee tu nakamchezo ketu?
aisee kupima hiyo ni habari nyingine mkuu sijawahi pata huo moyo!, na siku nikija pima ntakuwa na mim napima kila mweziMkuu mm kuna mmoja nilipiga sanaa ila alikuwa hataki bila ndom, sasa nikajifanya mjanja nikachomoa ndom katikati ya gem, alivojua alinisukuma, sikuona ndani tena sikujua kwann nikafikiri labda alikuwa anaogopa mimba, kumbe alikuwa nao na alijijua.. ni marehem kwa sasa hiyo ilikuwa 2006.. alikufa 2009, mm kupima ilikuwa mziki.. siku ya kwanza nikaenda magomen zahanat pale nikaishia getini nikarud. Mara ya pili niaenda Amref nikasema potelea mbali. Nikapima.. kuanzia hapo hakuna demu nagegeda bila kupima..
hahahahaha, u killed itHuu uzi umenikumbusha mbalii!!! Kiuna siku niko na bae... Tumemaliza mechi nikanyanyuka na kwenda kabatini nikameza kidonge kimoja cha cipro... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka wa watu aliruka toka kitandani kama ndama, jasho lilimtoka akaja nipana mkono nimuoneshe nimemeza dawa gani, ata nilivomwambia hakuniamini mpaka akajionea mwenyewe !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nilitaka kuoa ilibid nipime kwanza .. isije ikawa balaaa.aisee kupima hiyo ni habari nyingine mkuu sijawahi pata huo moyo!, na siku nikija pima ntakuwa na mim napima kila mwezi
Super women 2 Ahsante, nikweli tulikoseana lakini kwa sehemu nilibaini kuwa nami nilikuwa chanzo kwa kilichotokea. Sikuona sababu ya kumsamehe wife kwa kilichotokea. Naamini yeye au Mimi Hakuna aliye malaika. Maisha yaliendelea.kuna makosa mengine pale unapogundua ww ndio chanzo.na Kama mtu unampenda huna budi kumsamehe.hongera mkuu sio wote wanaweza Fanya hivi.
Hivyo mtu anaetumia vidonge vya ARV hawez kumuambukiza mtu napenda kujua hili somoNi kweli mkuu kwasababu dada anakunywa ARV na kushika miko.
Ni kweli chances za kutoambukizwa ni 99% kama huyo mtu yuko kwenye undetectable status. Hii status inafikiwa pale mwathirika anapotumia ARV na kumaliza wadudu wanaozunguka kwenye damu na akawa anaendelea kutumia dawa.Hivyo mtu anaetumia vidonge vya ARV hawez kumuambukiza mtu napenda kujua hili somo