Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha akili za kipoyoyo! kakojoe ulale na limkono lako la sweta!Wasukuma siku hizi wanatahiriwa?
Wasukuma siku hizi wanatahiriwa?
Bugando umekosa? ana umri gani kijana usije kumuwaisha sana halafu kidudu kishindwe kukua vizuri.
Wadau habari,
Kama hapo juu panavyojieleza napenda kujuzwa hospitali nzuri mwanza ambapo naweza kumpatia huduma kijana wangu! Kama ipo sehemu wanayotoa huduma hiyo kwa njia ya kuvisha kimpira then baada ya week kinatoka na dogo anakuwa poa!
Asanteni
Ya kuvisha kimpira ndo ipi hiyo?
Tumaini Hospital(Kwa Dr. Muhada) kona ya bwiru
Wadau habari,
Kama hapo juu panavyojieleza napenda kujuzwa hospitali nzuri mwanza ambapo naweza kumpatia huduma kijana wangu! Kama ipo sehemu wanayotoa huduma hiyo kwa njia ya kuvisha kimpira then baada ya week kinatoka na dogo anakuwa poa!
Asanteni
Acha umbulula wewe dogo...........kila kitu mna ''google''....mwishowe mtaanza kutautia mabinti zenu mabwana JF,google nk
Kwa dr. Machela zamani ilikuwa inaitwa hurumia watoto dispensary pale mlango mmoja opposite na new park hotel.
4 yrs mkuu!
siyo mbaya lakini hata 10yrs ni vema tu
nakushauri ukipata mtoto mwingine wa kiume usimcheleweshe hivyo!
Acha umbulula wewe dogo...........kila kitu mna ''google''....mwishowe mtaanza kutautia mabinti zenu mabwana JF,google nk