Msaada: Hosptali nzuri kutahiri mtoto mwanza

Msaada: Hosptali nzuri kutahiri mtoto mwanza

bugorobi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
107
Reaction score
36
Wadau habari,

Kama hapo juu panavyojieleza napenda kujuzwa hospitali nzuri mwanza ambapo naweza kumpatia huduma kijana wangu! Kama ipo sehemu wanayotoa huduma hiyo kwa njia ya kuvisha kimpira then baada ya week kinatoka na dogo anakuwa poa!

Asanteni
 
Bugando umekosa? ana umri gani kijana usije kumuwaisha sana halafu kidudu kishindwe kukua vizuri.
 
Wadau habari,

Kama hapo juu panavyojieleza napenda kujuzwa hospitali nzuri mwanza ambapo naweza kumpatia huduma kijana wangu! Kama ipo sehemu wanayotoa huduma hiyo kwa njia ya kuvisha kimpira then baada ya week kinatoka na dogo anakuwa poa!

Asanteni

Ya kuvisha kimpira ndo ipi hiyo?
 
Tumaini Hospital(Kwa Dr. Muhada) kona ya bwiru
 
Wadau habari,

Kama hapo juu panavyojieleza napenda kujuzwa hospitali nzuri mwanza ambapo naweza kumpatia huduma kijana wangu! Kama ipo sehemu wanayotoa huduma hiyo kwa njia ya kuvisha kimpira then baada ya week kinatoka na dogo anakuwa poa!

Asanteni

Acha umbulula wewe dogo...........kila kitu mna ''google''....mwishowe mtaanza kutautia mabinti zenu mabwana JF,google nk
 
Kwa dr. Machela zamani ilikuwa inaitwa hurumia watoto dispensary pale mlango mmoja opposite na new park hotel.
 
siyo mbaya lakini hata 10yrs ni vema tu

Nafikiri kwa umri huu sio mbaya maana sasa anaanza chekechea si unaju urinal infectious diseases kama UTI sasa hivi ni za kufikia kwa hiyo akiwa amepata huduma hiyo anapunguza risk.
 
nakushauri ukipata mtoto mwingine wa kiume usimcheleweshe hivyo!
 
mtoto wangu ana 5yrs ameanza darasa la kwanza mwaka huu na sijamtahiri
nia afike japo miaka 8~9.je ubaya ni nini?
na shule kwao wakifunga mwisho week nne,je anaweza kupona kwa muda huo
 
Back
Top Bottom