Msaada Hotspot na Wi-fi hazifanyi kazi kwenye simu yangu

Msaada Hotspot na Wi-fi hazifanyi kazi kwenye simu yangu

Kunguru wa Unguja

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
1,909
Reaction score
1,968
Habari wadau wa Technologia natumai mko poa

Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida
Screenshot_20251107_082340_Settings.jpg
 
Mwambie atume picha inayoonyesha specs za simu yake apewe maelekezo ila inaonekana ni Samsung
Hayupo serious mtu mwenyewe.. Kaleta uzi anataka msaada alaf kaacha tunajichatisha wenyewe.
 
Kama unatumia halotel badili mtandao halafu jaribu kuwasha uone kama tatizo bado lipo.
 
Mara nyingi simu uki update android version ndio inafanya hivyo, tatizo linaweza lisiishe
 
Back
Top Bottom