Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,909
- 1,968
simu uako aina gani??Habari wadau wa Technologia natumai mko poa
Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida View attachment 3527270
Mwambie atume picha inayoonyesha specs za simu yake apewe maelekezo ila inaonekana ni Samsungsimu uako aina gani??
Hayupo serious mtu mwenyewe.. Kaleta uzi anataka msaada alaf kaacha tunajichatisha wenyewe.Mwambie atume picha inayoonyesha specs za simu yake apewe maelekezo ila inaonekana ni Samsung
Mwambiew hili sio jukwaa la kutafuta wachumba..Hayupo serious mtu mwenyewe.. Kaleta uzi anataka msaada alaf kaacha tunajichatisha wenyewe.
HahahahaaaaMwambiew hili sio jukwaa la kutafuta wachumba..
πππππKama Samsung update, kama takataka za Infinix, Tecno itel na shoga zao wengne basi tupa nunua Simu
Samsung A42 5Gsimu uako aina gani??
Bado tatizo lipo mkuuKama unatumia halotel badili mtandao halafu jaribu kuwasha uone kama tatizo bado lipo.
πππππ
Ndio ni samsung A42 5GMwambie atume picha inayoonyesha specs za simu yake apewe maelekezo ila inaonekana ni Samsung
Data saver ipo off mkuuDisable data saving and try again
Mwambie atume picha inayoonyesha specs za simu yake apewe maelekezo ila inaonekana ni Samsung
Nilisha update toka mwaka jana Android 13 ambayo ni ya mwisho kabisaKama Samsung update, kama takataka za Infinix, Tecno itel na shoga zao wengne basi tupa nunua Simu
Android ipo 16 nowNilisha update toka mwaka jana Android 13 ambayo ni ya mwisho kabisa
Labda kwa series mpya ila sio Samsung A42 mkuuAndroid ipo 16 now
View attachment 3527504
Uli fanikiwa Ku solve ?maana yangu ime goma pia tena ime kataa kusoma na lineHabari wadau wa Technologia natumai mko poa
Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida View attachment 3527270