Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

 
Hapo akachome sindano za benzalthamine penicillin,sindano tatu kila week sindano moja
 
DR Mambo Jambo
 
Pole Mkuu

Nenda hospitali ukapime na kupewa matibabu, ila waombe wakupe na dawa za PEP walau kukukinga kama utakuwa umepata na maambukizi ya HIV kama hayajapita masaa 72.

Nakutakia matibabu mema 🙏
 
Mbona ana kibamia hivi?
 
Mwambie apime na HIV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…