Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Nenda hospital upimwe kuna aina nyingi za magonjwa ya ngono na mengi dalili hufanana usitumie dawa bila vipimo sahihi

Ikiwa ni pangusa na ukatumia dawa za kaswende utapata nafuu kwa muda then inarudi kwa kasi ya 5G so nenda hospital upimwe

Pole sana k tamu ila kiganja kina utamu zaidi
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani.....?

View attachment 2933427
Walamba koni sasa,. KAZI wanayo!
 
Back
Top Bottom