Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Hapo ni BBE naona inatosha ingekuwa Norwegian angeongeza hiyo Iver. Pred sioni haja anaweza kutumia antihistamine yeyote. Sioni haja ya antibiotics

Mbona kaugonjwa kadogo tu ni vile ipo hiyo sehemu ya siri
Yeah kweli kabisa but For Cure purpose atumie Ivermectin na Bbe
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Naona umechelewa sana kwenda hospitali

Shauri yako…. Madhara yake ni kuharibu kabisa nguvu na uwezo wako wa kuwa baba
 
Mkuu huyu anayeumwa ni wewe au mtoto tuanzie hapo.
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Wabongo NI wajinga Sana yaani Una Hali kama hii umezibaa hapa forum badala ya Kwenda hospital ngoja kikatike uone kama utapiga Kura 2025
 
Yani hata ukivisha gunia sketi yeye analitongoza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] and he is carelessly, hata kama ni rafiki yake mwambie charity begins at home, sasa huo mkucha ataacha kukutana na mazaga?
Mwanaume mwenzenu ni mchafu mno
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Kaswende hiyo mkuu pole sana wahi hospital maana kigegedeo kitakatika nenda na manzi uliye mgegeda pia
 
Kwa afu tatu unabeba hilo gonjwa lakini kujitibia ndio balaa Sasa. Tupunguze hizi NY***za kiboya boya
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Kuna manzi nilipiga kesho yake nikapatwa na vidonda kama hivo lakini hivo vimezid kuwa vingi. Mimi sinaga aibu kwenye swala la afya, baada ya kugundua Nina hiyo shida nilikimbia kituo cha afya nikaeleza kinagaubaga then nikapewa dawa kama aina tatu hivi.

Mbili vidonge then moja ni ya syrup ya kupaka (inawasha kimaku. Nilitumia ndan ya week moja chombo ikarudi barabarani mpk leo naenjoy, japo Dokta alinishauri nikapime HIV nilienda mara 3 kila baada miez mi2 na nilifurahi kukuta nipo powa.

Aende hosii ni ugonjwa wa kawaida ni STD
 
Dawa yake ni mafuta ya nazi tu mapema sana anapona
me sio doctor ila mi shuhuda nilipona kupitia mafuta hayo
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
hiyo ni dalili ya kaswende nenda ukapime na mkeo ai mchepuko wako
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Wew kimbia hosp na uache uzinzi, pia uwe msafi, Kwa kuchat hizo kama panga utaponea wap, kidudu enyew kiduchu zubaa kiliwe zaid kiwe kb halis 🤣
 
Back
Top Bottom