Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Sina maana hiyo πππππ inaonekana legend shem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina maana hiyo πππππ inaonekana legend shem
Lichafu kweli kweliAkate na hizo kucha.
π leo mkono umejizolea point 3 muhimuK tamu kuliko mkono eeh
π mbele ya hela hawaachi kituWalamba koni sasa,. KAZI wanayo!
Ni scabies hiyoVipi unapata uwasho katika mikono na mskalio.?
Je una vipele kwenye makalio ambavyo huwasha hasa nyakati za usiku ?
Je huwa unapata muwasho hasa nyakati gani,usiku asubuhi au mchana ?
na mimi niliwaza Scabies mkuu.Tukiacha hiyo picha Hapo juu..
Ana maumivu ya Viungo "Joint pain"?
Tatizo hilo amewahi kulipata?
Kabla aliwahi kupata Maumivu kwenye kukojoa?
Kwa sababu most Preffarably Impresion kwangu hii ni Balanitis circinata.
Tafuta BBE utapaka..
Kunywa Ivermectin Tabs 12mg Od kwa siku 5
Kunywa Azithromycin 500mg Od kwa siku 5
Na kama anawashwa sana Ajaribu kutumia..
Predinisolone 10mg Bd Kwa siku 5
Zingatia Usafi..
CC: miles45
That's Mr gono in town, iliwahi nitokea nkawa najikuta nna ramani kwa boxer za ktosha mchuzi unatokea afu unaganda kwa kikojoleo...manzi alieniambukiza ilitafuna hadi akadanyiwa surgery hajawahi zaa tenaNianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.
Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.
Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?
View attachment 2933427
Una UTI kali sana. Ndani ya siku chache zijazo uume utaanza kutoa usaha. Kuna mtu alishawahi kushare huku the same case akapata msaada huu huu, unaweza ukarefer nyuzi za nyuma, kuna issue kama hii pia ilitokea. Turned out na mimi pia nilikuja kupata hii case na ilikuwa ni UTI kali, sikuwa na experience ya ugonjwa wa UTI hapo kabla ndo maana hadi ilinifikia hii stage. Nlitumia dozi za UTI nikapona ndani ya siku chache tu.Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.
Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.
Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?
View attachment 2933427
Hapo ni BBE naona inatosha ingekuwa Norwegian angeongeza hiyo Iver. Pred sioni haja anaweza kutumia antihistamine yeyote. Sioni haja ya antibioticsTukiacha hiyo picha Hapo juu..
Ana maumivu ya Viungo "Joint pain"?
Tatizo hilo amewahi kulipata?
Kabla aliwahi kupata Maumivu kwenye kukojoa?
Kwa sababu most Preffarably Impresion kwangu hii ni Balanitis circinata.
Tafuta BBE utapaka..
Kunywa Ivermectin Tabs 12mg Od kwa siku 5
Kunywa Azithromycin 500mg Od kwa siku 5
Na kama anawashwa sana Ajaribu kutumia..
Predinisolone 10mg Bd Kwa siku 5
Zingatia Usafi..
CC: miles45
Lakini sioni haja ya Antibiotic na Steriod hapo.na mimi niliwaza Scabies mkuu.
Jamaa apate tu Benzyl benzoate afu apite hospital.
Hajasema ka huwa wanalala wengi kitanda kimoja.
Huu ni UONGO..... UONGO.. UONGO..Watu wana uelewa mdogo sana humu
Wapiga puchu sidhani kama mtafanya hivyo milele
Magonjwa yapo tena hatari kuliko hilo lakini haimaanishi kwamba ndiyo tusichakate mbususu, mbususu ni lazima zichakatwe
Mpiga puchu hana namna anayoweza kumridhisha mwanamke
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yani hata ukivisha gunia sketi yeye analitongoza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] and he is carelessly, hata kama ni rafiki yake mwambie charity begins at home, sasa huo mkucha ataacha kukutana na mazaga?Shem nimefika [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kwanza mchafu halafu hajipendi, hivi umeona huo mkucha wake wa dole gumba mrefu kwa ndani km kuna usaha.!! Ptyuuuu!!
Huyu itakuwa ndio wale wanaojifanya kila tundu wanapita sasa kakutana nacho yy awahi dose [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona watu wanamfanyia masihara wakati mdau yupo kwenye deep feelings and psychological torture, afuate huu ushauri awe huru, ila asirudie tena kula rosti.Yeah na hii ndo Ivermectin Tabs Anywe hii itamsadia kama nilivyoandika post #62
Safi sana
Asante kwa kumtoa hofu kijana wetumiles45 hiyo ni scabies, ugonjwa wa ngozi tu
Scabies is a parasitic infestation caused by tiny mites that burrow into the skin and lay eggs, causing intense itching and a rash.miles45 hiyo ni scabies, ugonjwa wa ngozi tu
Yeah ndo yenyewena mimi niliwaza Scabies mkuu.
Jamaa apate tu Benzyl benzoate afu apite hospital.
Hajasema ka huwa wanalala wengi kitanda kimoja.
Shauri yao, chuma kimeshalia kwa ndugu yetu huyutena unakuta ni wa kwanza kunikandia, ooh nyeto inapunguza nguvu za kiume, na KE wote hawa ?
kula chuma icho