Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Kaka hawaelewii, naona tuna ma stress ya maisha na humu ndo sehem ya ku vent.. me nimeanza kusoma kwa u serious kabisa ila comment sasa zinachekesha utafanyaje, afya ya akili za wana jf ni kipengele πŸ˜‚

msaada kashapata , kwanza aende hospital first thing first

Ngoja na me nikazingue kwanza πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daa huo ugonjwa balaa. Shida yake nikwamba hutaki kwenda hospital, na unavyozidi kukaa ndio tatizo linazidi kuwa kubwa. Na hivyo vipele bila dawa havito kwisha na muwasho utaongezeka.

Niliwahi tomba lidemu fulani baada ya siku mbili nikaanza kupata muwasho na vidonda kama hivyo sema Niliwahi pharmacy nikapewa BBE vidonda na vipele vyote plus muwasho ukapotea. Ila hiyo stage uliofikia bora uendee hospital maana umekaa nao muda mrefu hadi vipele vingine vinakauka.

Ila nakuhakikishia hakuna wadudu watukutu kama hao wanaokutafuna ukifanya uzembe itakuja kula kwako. Halafu hiwezi jua maana unaweza kuta una gono au kaswende maana huwa na dalili kama hizo mwanzoni

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Duuuu alaf unakuta uyo demu ni bonge la pisi...
Hahaha nimekumbuka life la chuo ndo tunaanza mwaka wa kwanza mshkaj akapata pisi fulani ya chuga ukiichek kali kichiz ,mshkaji akataka kuonesha maufundi kama yote si akazama chumvini😁😁😁 kesho yake anaingia class mdomo umebabuka kama kamwagiwa maji ya moto
 
Tukiacha hiyo picha Hapo juu..
Ana maumivu ya Viungo "Joint pain"?
Tatizo hilo amewahi kulipata?
Kabla aliwahi kupata Maumivu kwenye kukojoa?

Kwa sababu most Preffarably Impresion kwangu hii ni Balanitis circinata.

Tafuta BBE utapaka..
Kunywa Ivermectin Tabs 12mg Od kwa siku 5
Kunywa Azithromycin 500mg Od kwa siku 5

Na kama anawashwa sana Ajaribu kutumia..
Predinisolone 10mg Bd Kwa siku 5

Zingatia Usafi..

CC: miles45
Nime screenshots na kumtumia asante sana kwa msaada wako pia pongezi kubwa ziende kwako kwa kuwa na moyo huo wa kusaidia watu.....Na Mwenyezi Mungu akuzidishie
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Kwa kucha hizo ni wazi wewe ni mtu usiyejijali hivyo ukipatacho ni haki yako.
Hata hivyo mimi sijawahi kuona mtu anaumwa kwenye cylinder head hivyo msaada wangu ni kukupongeza kwa kazi nzuri uifanyayo.
 
Back
Top Bottom