Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Watu wana uelewa mdogo sana humu

Wapiga puchu sidhani kama mtafanya hivyo milele
Magonjwa yapo tena hatari kuliko hilo lakini haimaanishi kwamba ndiyo tusichakate mbususu, mbususu ni lazima zichakatwe

Aliyepata huo ugonjwa siyo kwamba ndiyo ana hatia sana kuliko sisi wengine
Kosa lake hapo ni kudharau ugonjwa kwa kuchelewa kwenda hospitali
Kwasababu kipele hata kimoja kikiota hapo kichwani tayari kuna shida
hapo huwa pako soft hapakai kitu ooote hapo kabisa ukiona dalili tu wahi hospitali
Sa unakaa hadi Ndonga inaoza dingii utasuuzia nini asee

Puchu ni stage tu ya ukuaji mwanaume smart hapigi puchu lazima uwe na stamala

Mpiga puchu hana namna anayoweza kumridhisha mwanamke

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tukiacha hiyo picha Hapo juu..
Ana maumivu ya Viungo "Joint pain"?
Tatizo hilo amewahi kulipata?
Kabla aliwahi kupata Maumivu kwenye kukojoa?

Kwa sababu most Preffarably Impresion kwangu hii ni Balanitis circinata.

Tafuta BBE utapaka..
Kunywa Ivermectin Tabs 12mg Od kwa siku 5
Kunywa Azithromycin 500mg Od kwa siku 5

Na kama anawashwa sana Ajaribu kutumia..
Predinisolone 10mg Bd Kwa siku 5

Zingatia Usafi..

CC: miles45
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani.....?

View attachment 2933427
kijana, rafiki na ndugu yangu, pole sana,

nadhani huenda umekaswendeka na sijajua umechelewea wapi, nenda hospitali leo hii hii na wakupatie dozi ya nguvu kabla ya hatua ya tatu ambayo ni hatari na mbaya zaidi kukukumba....

fanya hivyo upesi, hata kama huna jambo mfukoni, hebu nenda daktari atakaekuatendi hataweza kukuacha urudi nyumbani hivyo ulivyo, lazima atafanya jambo...

usiogope,
kwa Neema na Baraka za Mungu, tatizo lako linatibika na utapona kabisa...
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani.....?

View attachment 2933427
Aweke pilipili ya unga
 
Sasa mbona kama umechelewa sana? mpaka vimekomaa kabisa

Kuna sehemu ya mwili ikipatwa hata vijipele kidogo tu lazima uwe na mashaka(Kwa anae jijali lakini)

ILA WEWE HAUJIJALI MPAKA UNAKUWA HIVYO INA MAANA SIKU ZOTE HIZO ULIKUWA HUONI?

NA KUCHA PIA ZINAONESHA HUJIJARI KABISA
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani.....?

View attachment 2933427
Meza hii kazi kwisha, ila usirudie tena
IMG-20240313-WA0038.jpg
 
Walau kama atakuwa alipata maambuzi na hayajapita masaa 72 hizo dawa zitasaidia kumlinda.
Ili hizo Rashes ziweje kujitokeza Inahitaji latent phase " Latent period" ya Siku kuanzia nne mpaka Saba..

Ili mtu aweze kupatiwa PEP,
Lazma awe amefanya Tukio la Muingiliano (Sex) au kazi iliyomfanya Kuhisi anaweza kuwa ameambukizwa HIV..

Na atapimwa na kupatiwa PEP ndani ya masaa 72..
Huyo alichosema ni kuwa anaumwa hizo rashes hiyo inamaanisha mpaka kufika kutokea Rashes huenda tukio sio la leo au la wiki hii..
Shukrani
 
Shukrani Kwa maarifa Mkuu, ubarikiwe 🙏🙏
 
Back
Top Bottom