Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Syphilis aka kaswende nenda hospital kama hali haijawaha mbaya ni Syphilis....

Kama nimekosea basi genital wart .....virus.....ila kaswende hiloooo likichanganya linaenda mdomoni linasambaaaa
 
Aloo pole sana harakati za pimbi na majanga yake mkuu
 
Hizo ni faghasi mkuu,na uwa zinatokeaga kama ukifanya ngono na mwanamke ambae yupo hedhini,hapo kapate dawa pia uwaga zinakaukaga zenyewe maana kuna kipindi wakati napenda ngono kama miaka 6 iliyopita mimi ilikauka zenyewe maana ninagroup o hila kama unadamu changa nenda ukachome sindano hizo ni faghasi
Vidonda vya Kaswende pia huwa inapona yenyewe but inahamia viungo vya ndani kama Moyo, ini n.k so ni Bora upate matibabu sahihi
 
Pamoja na kutilia mkazo juu ya wachangiaji kuacha masihara kwenye hili ila bado watu wanaleta masihara ni huzuni kwa kweli.
Kaka hawaelewii, naona tuna ma stress ya maisha na humu ndo sehem ya ku vent.. me nimeanza kusoma kwa u serious kabisa ila comment sasa zinachekesha utafanyaje, afya ya akili za wana jf ni kipengele 😂

msaada kashapata , kwanza aende hospital first thing first

Ngoja na me nikazingue kwanza 🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Pole sana mkuu,
Ukiingiza shimo lisilo safi matokeo yake ndio haya, hakuna msafi..ni bahati tu!

Ugonjwa kama huu usichelewe, nenda hospital usije haribu dyudyu.
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Genital warts au genital herpes
 
Tukiacha hiyo picha Hapo juu..
Ana maumivu ya Viungo "Joint pain"?
Tatizo hilo amewahi kulipata?
Kabla aliwahi kupata Maumivu kwenye kukojoa?

Kwa sababu most Preffarably Impresion kwangu hii ni Balanitis circinata.

Tafuta BBE utapaka..
Kunywa Ivermectin Tabs 12mg Od kwa siku 5
Kunywa Azithromycin 500mg Od kwa siku 5

Na kama anawashwa sana Ajaribu kutumia..
Predinisolone 10mg Bd Kwa siku 5

Zingatia Usafi..

CC: miles45
But Huyo siyo govi doctor ametairiwa. Huo ugonjwa si unawapa zaidi magovi
 
Mimi naunga tano mpk ataoe maji 🙄
 
Attachments

  • IMG_9927.jpeg
    IMG_9927.jpeg
    287.4 KB · Views: 6
Syphilis aka kaswende nenda hospital kama hali haijawaha mbaya ni Syphilis....

Kama nimekosea basi genital wart .....virus.....ila kaswende hiloooo likichanganya linaenda mdomoni linasambaaaa
Genital warts haipo ivo.. Vipele vyake vidogo sana.. Hafu uyo hali ishakua mbaya.. Yaani apo akipiga bao vinatoka viusaa.. Hosp watamlaza uyu.. Kaisha..

Unauza mechi kizembe sana
 
Back
Top Bottom