Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

But Huyo siyo govi doctor ametairiwa. Huo ugonjwa si unawapa zaidi magovi
Hapana, Japo kama ulivyosema most of pt ni wenye magovi..

Lakini pia wasio na Magovi huwa wanapata japo kwao inaweza kusababishwa na Microscopic mites anayeitwa Sarcoptes scabiei..Na inaweza pia ikaitwa kwa lugha ya Haraka haraka ni Penile Scabies...

Japo kwa sasa Imekuwa kubwa sana kwa kasi watu wengi sana wanaugua nahisi ni Kutokana na Hygiene kuwa ndogo..
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Vipi unapata uwasho katika mikono na mskalio.?

Je una vipele kwenye makalio ambavyo huwasha hasa nyakati za usiku ?

Je huwa unapata muwasho hasa nyakati gani,usiku asubuhi au mchana ?
 
Wazee hizi K sometimes zinabeba magonjwa ya ajabu. Nikikumbuka mm nilikuwa nawashwa mpaka nikawa najikanda majimoto yenye chumvi lakini mapele ndio yalikuwa yanazidi kwenye kichwa cha libolo. BBE inasaidia japo sina uhakika kama inaweza match na kwako pia

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Aseee😳huo mpele ni ugonjwa itakuwa..wahi kwa daktari
 
Attachments

  • FB_IMG_1710230294955.jpg
    FB_IMG_1710230294955.jpg
    29.6 KB · Views: 8
Shem nimefika 😂😂😂
Huyo kwanza mchafu halafu hajipendi, hivi umeona huo mkucha wake wa dole gumba mrefu kwa ndani km kuna usaha.!! Ptyuuuu!!
Huyu itakuwa ndio wale wanaojifanya kila tundu wanapita sasa kakutana nacho yy awahi dose 🤣🤣🤣🤣
Hii inaonekana kutoka kwa wale wa samaki samaki pale mlimani
 
Na limao au ndimu
Inaonekana mdau alikuwa kwenye harakati za kukitupa Cha mkono ila vidonda vimemkwamisha
1. Kashavua kila kitu yupo juu ya godoro
2. Pili kashika simu. Hii inaashiria kuwa ilitakiwa kuwa nyenzo muhimu ya kuangalia video za ngono kupata stimu (Busta)
Hapo baad ya zoez kushindikana ndo ameona bora atafute suluhu kwa kurudi kwenye kamera na kupiga picha.

Nb: kupiga nyeto sio dhambi, tuendelee kujifukiza vijana pesa ngumu msihonge. Sabuni ya magadi 100, Dem 20,000 tunza kibunda chako
 
Shemeji umenishinda 😂😂😂😂
Kwahiyo alikuwa anataka kujichukulia sheria mkononi!!!
 
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa.

Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo watu wa mzaha tutulie kidogo hii ni afya ya mtu.

Msaada unao hitajika hapa ni wa tiba na sio tumchangie ila anaomba kujua dawa ya huu ugonjwa au jina ni ugonjwa gani?

View attachment 2933427
Hii mashine kwa usalama wako inatakiwa kukatwa kabisa!
 
Back
Top Bottom