Msaada: Huyu dada anataka nini?

Mwanaume mpumbavu weeee!!!!
Unauliza anataka nini wakati ANAOMBA HELA!!!!
 
Dodoma kuna daladala limeandikwa NKUHUNGU kubwa kuliko DODOMA.
Alifikiria nini aliyeandika hatujui na kama tunajua hatuwezi kuwa na majibu yanayofanana na yake.
 
Wewe mwenyewe bado unampenda huyo Mwanamke, Kumbuka ameshakuwa mke wa mtu vunja mazoea na mawasiliano. La sivyo kitakacho kutokea usisahau kutupa mrejesho
 

"............inafikia mpaka ananiomba pesa................"
 
Skia mdogo wangu
Sisi tuko pamoja na wewe kwenye unachofikiria piga tu huo mzigo wala hatuna ushauri mwingine!! Ila tumia akili jikinge kiafya na ambush
Mana kama ungekua hujashawishika ungekua ushamblock huu uzi usingekuwepo.
 
Simu yako haina uwezo wa kublock?
 
Same story bro hawa viumbe ni problematic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…